Fdt
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 440
- 149
Wazayuni haoHaja itaja Irani usikurupuke ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazayuni haoHaja itaja Irani usikurupuke ndugu
ni kweli zipo 22, hesabu ulizoandika ziko 23 ikiwemo Iran,hapo ndipo pamekosewaGo back to wikipedia..afu count vizuri hizo zipo 22
Mkuu, ukitaka wawe mabubu waambie wakuletee picha za mwarabu akiwa na mtumwa, utakuta za kuchora tu. Hata picha za watu wapo kwenye mashamba ya karafuu humkuti warabu akiwa na bakora.
Kwa hiyo unataka kutuambia Waarabu hawakuuza watu?,ba yale makumbusho ya watumwa pale Unguja yanamuongelea nani?,bora Mzungu japo kwa unafiki alikomesha biashara ya utumwa kuliko hao unaowatetea,bora mzungu aliwachukua waafrika utumwani lkn hakuwaasi na ndo maana kuna waafrika wengi katika nchi ambazo wazungu walisimamia utumwa..lkn Waarabu ni hovyo kabisaUshahidi upi uliokuwa nao kuwa mababu zenu wamefanywa watumwa na waarabu? Sijui mnakuwa mnajitoa akili au ndio chuki zenu mkikosa la kusema! 😀 😀 😀 Nyerere aliwaambia wanawake wanafagilishwa barabara unguja kwa maziwa au nani kawafundisha mambo haya? Sio nyinyi mliokuwa mkiwauza ndugu zenu vijijini kwa wazungu kisa unapewa kioo ujitizame?
Nianze kukupangia kila nchi na Colonial Master wake akisha tutajua nani kashamiri kwa biashara ya utumwa?
Mwarabu katoka Oman kaja Zanzibar Enzi hizo, kufika tu, kaifanya Zanzibar Mji mkuu wa Oman. Ivi unaweza kunambia taifa gani limefanya ivo kwa Afrika zaidi ya kuwadharau tu? Nyie na CCM ya Zanzibar mkieneza chuki dhidi ya Waarabu, lakini walivokuja na meli yao kina Balozi wakafunga bandari hamna kazi kuwapisha waarabu waingie, mnajifanya watumwa kabla ya kutumwa 😀
Huenda hao ni wachache waliobahatikamkuu Kilawo na tupo wengi tu kaka. Jirani zangu hapo mama yao alikuwa mtumwa kutoka kilwa. Aliolewa na Muarabu na watoto wakabahatika kwenda shule mmoja wao ni Meneja wa Bank moja kubwa tu huku tulipo ni juzi tu nimetoka kula futari kwenye villa yake. Mwegine ni mchezaji mpira analipwa fedha ndefu na ako na maisha mazuri sana tu. Mkuu Kilawo hizi huwa ni dhana tu za watu wanazipata kupitia vitabu tu lakini ukweli ndio huo. Wapo walioowa na kuolewa ingawa inawezekana ni kwa idadi ndogo lakini wapo.
Sina la kuongeza, mtu unaeona bora kuishi na mnafiki kuliko mbaya umjuae 😀 ukapimweKwa hiyo unataka kutuambia Waarabu hawakuuza watu?,ba yale makumbusho ya watumwa pale Unguja yanamuongelea nani?,bora Mzungu japo kwa unafiki alikomesha biashara ya utumwa kuliko hao unaowatetea,bora mzungu aliwachukua waafrika utumwani lkn hakuwaasi na ndo maana kuna waafrika wengi katika nchi ambazo wazungu walisimamia utumwa..lkn Waarabu ni hovyo kabisa
kumbe ni wajamaa wa kweliIran sio nchi ya kiarabu
Waarabu ni watu wabaya sana.Wamewatesa sana Babu zetu.Na mpaka Leo hii bado wanawanyanyasa ndugu zetu waafrika.Makampuni yote ta Waarabu wanawanyanyasa waafrika.Hebu jiulize au waulize wanaofuga wanyama anavyoteseka mnyama akihasiwa na fikiria binadamu aliteseka kiasi gani alipohasiwa?Ongeza hapo kuwa walipofanya biashara ya utumwa waliwahasi mababu zetu ili wasiweze kuzaliana. Na ndo maana pamoja na kwamba waarabu ndo walikuwa vinara wa biashara ya utumwa na watumwa wengi pia walipelekwa uarabuni hatuwezi kuona masalia ya viazi vya watu weusi kule uarabuni kama ilivyo African-Americans
Mimi sijui historia vizuri ila naomba unijibu maswali haya ambayo nadhani kwa uelewa wako mkubwa katika hizi nyanja utanijibu. Vituo vya watumwa vya Pangani , Bagamoyo na Zanzibar vilisimamiwa na nani?. Nitafurahi sana kama wewe utatuletea picha za Wazungu na watumwa wa East Africa.Mkuu, ukitaka wawe mabubu waambie wakuletee picha za mwarabu akiwa na mtumwa, utakuta za kuchora tu. Hata picha za watu wapo kwenye mashamba ya karafuu humkuti warabu akiwa na bakora.
Somalia si waarabusomalia ni warabu? Mhhh
Leta ushahidi kwamba machifu waliwauza watu weusi kwa kubadilishana na kioo,usituletee upuuzi uliodangnywa na sheikh madrassa,hapa sio facebookUshahidi upi uliokuwa nao kuwa mababu zenu wamefanywa watumwa na waarabu? Sijui mnakuwa mnajitoa akili au ndio chuki zenu mkikosa la kusema! 😀 😀 😀 Nyerere aliwaambia wanawake wanafagilishwa barabara unguja kwa maziwa au nani kawafundisha mambo haya? Sio nyinyi mliokuwa mkiwauza ndugu zenu vijijini kwa wazungu kisa unapewa kioo ujitizame?
Nianze kukupangia kila nchi na Colonial Master wake akisha tutajua nani kashamiri kwa biashara ya utumwa?
Mwarabu katoka Oman kaja Zanzibar Enzi hizo, kufika tu, kaifanya Zanzibar Mji mkuu wa Oman. Ivi unaweza kunambia taifa gani limefanya ivo kwa Afrika zaidi ya kuwadharau tu? Nyie na CCM ya Zanzibar mkieneza chuki dhidi ya Waarabu, lakini walivokuja na meli yao kina Balozi wakafunga bandari hamna kazi kuwapisha waarabu waingie, mnajifanya watumwa kabla ya kutumwa 😀
Una ushahidi??? Maana hata waarabu kuuawa na Marekani n Israel Ni choice yao,wamejitakia wenyeweKanye West hajakosea. Tatizo watu hawautaki ukweli.
Chief anauza watu wake kwa wageni wakafanywe watumwa kwa sababu kapewa kioo 😀 😀 halafu kuna mashuhuda wa hilo na bado wanaendelea kumwita jamaa chief wao!