LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Is Wikipedia an authority to be relied to?Mkuu pitia kidogo wikipedia naona mna comment vitu ambavyo hamna elimu navyo...but no offenseView attachment 798041
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is Wikipedia an authority to be relied to?Mkuu pitia kidogo wikipedia naona mna comment vitu ambavyo hamna elimu navyo...but no offenseView attachment 798041
So show me your authority inayosema comoros sio nchi ya kiarabuIs Wikipedia an authority to be relied to?
Mkuu LIKUD unaniangusha asee..everywhere hiko kitu kipo nakedIs Wikipedia an authority to be relied to?
Pitia hapa kidogo...Somalia na Djibouti si nchi za kiarabu.
Mkuu Lebanon sio Waarabu na ukitaka kukosana nao waite Waarabu... Lebanon ni Phoenician.Habari zenu watu wa JF..
Leo tupate kujua kidogo kuhusiana na hawa watu tunaowaita "Waarabu"...Nimepitia pitia kidogo nchi zao na pia kusoma vitabu vyao vinavyoelezea maisha yao...haya yafuatayo ndio niliopata kuyafahamu kutoka kwa "waarabu":-
1.Neno "uarabu"-"arab" ni neno linalowakilisha asili/tamaduni/culture na sio rangi kama wengi tujuavyo.
2.Duniani kuna nchi 22 za kiarabu,yani waishipo waarabu nazo ni-Lebanon,Syria,Morocco,misri,Tunisia,Iran,iraq,Jordan,kuwait,Qatar,Saudi arabia,Somalia,Djibouti,Comoro,Sudan,Palestina,Mauritania,Algeria,Oman,UAE,Bahrain na Yemen.
3.Waarabu wote sio Waislamu,Na Waislamu wote sio waarabu..ingawa kundi kubwa la waarabu ni waislamu,wachache sana ndio wakristo na Wayahudi.
4.Waarabu ni watu ambao wanawaheshimu sana Wazee na Watawala wao...Ni mwiko sana kukosoa,kudhihaki na hata kumfokea mtu aliyekuzidi umri au aliye mtawala wako.Wana Heshima yenye hofu kubwa yaweza ikawa kuliko taifa zingine zote.
5.Sio Mataifa yote ya kiarabu vazi lao la utamaduni ni kanzu,la hasha,bali yapo mataifa ya kiarabu ni nadra sana kumuona mtu kavaa kanzu nayo ni mojawapo Syria,Misri na Lebanon.
6.Kwenye Lugha ya kiarabu,lugha/ishara ya mwili(body language) ni kitu muhimu sana kuliko hata maongezi yenyewe..Pata muda tizama clips zao.
7.Lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha inayozungumzwa kwa mfanano karibia mataifa yote ya kiarabu...mfano kwenye kiingereza kuna kiingereza cha wales,australia,marekani n.k
8.Sifa kubwa ya waarabu katika ulaji chakula ni "kutumia mkono" yaani no kijiko no uma..hata awe tajiri kiasi gani dhana yake ya kwanza kwenye kula ni "mkono wake"..Hii imepelekea kupenda kuwa na hotel/migahawa yao mahsusi.
9.Ukiwa kwenye mkutano/meeting ni mwiko kutizama saa iwe ukutani au mkononi,ukifanya hivyo ni ishara ya kuwadharau walioko kwenye mkutano.
10.Mahusiano ya kifamilia/undugu yana nguvu sana kwa waarabu..kwa mfano unaeza kuta nyumba moja wanaishi karibia ukoo/yani bibi wa bibi mpaka babu wa babu na wajukuu wake.
11.Umri hauna nafasi katika kujitegemea yani kuwa huru na makatazo au amri au huduma za wazazi..yani mtu anaweza akafika hata miaka 40 lakini akawa anahudumiwa na wazazi wake.
12.kwa kawaida uchukua zaidi ya mwaka na miezi saba kujua lugha ya kiarabu kwa ufasaha.
13.kinywaji kikubwa katika nchi za waarabu ni kahawa...
AHSANTENI NI HAYO TU YA KWANGU....MENGINE KUHUSU WAARABU NAHISI TUTAYAPATA KUTOKA KWA WACHANGIAJI...[emoji120]
Zikusanye nawewe mkuu hizo notice...hezbollar ndio taifa au kikundi tu cha wahuni km wa temeke...wew huyo hezbollah nahisi ulivyokutan nae kuna kitu kilitokea ebu tu habari na sie au ulizaa nae[emoji12]Mkuu Lebanon sio Waarabu na ukitaka kukosana nao waite Waarabu... Lebanon ni Phoenician.
Siku katiza ukutane na Hezbollah and then muite Arabs utaelewa kwanini hakuna mpingo Mweupe😀😀😀.
Kiufupi huna ujualo kuhusu Arabs umekusanya kusanya tu notice kadhaa na ukaongeza na ubunifu wako wa Uongo ili thread Inoge
Kwa mfano upi mkuu?!..mpk wawe wakatili?Nitarudi baadae ila tukiweka pembeni suala la kihistoria, currently Waarabu ni miongoni mwa jamii katili sana haswa kwa watu weusi. Japo si waarabu wote ila asilimia kubwa sana ni wakatili mno.
Habari zenu watu wa JF..
Leo tupate kujua kidogo kuhusiana na hawa watu tunaowaita "Waarabu"...Nimepitia pitia kidogo nchi zao na pia kusoma vitabu vyao vinavyoelezea maisha yao...haya yafuatayo ndio niliopata kuyafahamu kutoka kwa "waarabu":-
1.Neno "uarabu"-"arab" ni neno linalowakilisha asili/tamaduni/culture na sio rangi kama wengi tujuavyo.
2.Duniani kuna nchi 22 za kiarabu,yani waishipo waarabu nazo ni-Lebanon,Syria,Morocco,misri,Tunisia,Iran,iraq,Jordan,kuwait,Qatar,Saudi arabia,Somalia,Djibouti,Comoro,Sudan,Palestina,Mauritania,Algeria,Oman,UAE,Bahrain na Yemen.
3.Waarabu wote sio Waislamu,Na Waislamu wote sio waarabu..ingawa kundi kubwa la waarabu ni waislamu,wachache sana ndio wakristo na Wayahudi.
4.Waarabu ni watu ambao wanawaheshimu sana Wazee na Watawala wao...Ni mwiko sana kukosoa,kudhihaki na hata kumfokea mtu aliyekuzidi umri au aliye mtawala wako.Wana Heshima yenye hofu kubwa yaweza ikawa kuliko taifa zingine zote.
5.Sio Mataifa yote ya kiarabu vazi lao la utamaduni ni kanzu,la hasha,bali yapo mataifa ya kiarabu ni nadra sana kumuona mtu kavaa kanzu nayo ni mojawapo Syria,Misri na Lebanon.
6.Kwenye Lugha ya kiarabu,lugha/ishara ya mwili(body language) ni kitu muhimu sana kuliko hata maongezi yenyewe..Pata muda tizama clips zao.
7.Lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha inayozungumzwa kwa mfanano karibia mataifa yote ya kiarabu...mfano kwenye kiingereza kuna kiingereza cha wales,australia,marekani n.k
8.Sifa kubwa ya waarabu katika ulaji chakula ni "kutumia mkono" yaani no kijiko no uma..hata awe tajiri kiasi gani dhana yake ya kwanza kwenye kula ni "mkono wake"..Hii imepelekea kupenda kuwa na hotel/migahawa yao mahsusi.
9.Ukiwa kwenye mkutano/meeting ni mwiko kutizama saa iwe ukutani au mkononi,ukifanya hivyo ni ishara ya kuwadharau walioko kwenye mkutano.
10.Mahusiano ya kifamilia/undugu yana nguvu sana kwa waarabu..kwa mfano unaeza kuta nyumba moja wanaishi karibia ukoo/yani bibi wa bibi mpaka babu wa babu na wajukuu wake.
11.Umri hauna nafasi katika kujitegemea yani kuwa huru na makatazo au amri au huduma za wazazi..yani mtu anaweza akafika hata miaka 40 lakini akawa anahudumiwa na wazazi wake.
12.kwa kawaida uchukua zaidi ya mwaka na miezi saba kujua lugha ya kiarabu kwa ufasaha.
13.kinywaji kikubwa katika nchi za waarabu ni kahawa...
AHSANTENI NI HAYO TU YA KWANGU....MENGINE KUHUSU WAARABU NAHISI TUTAYAPATA KUTOKA KWA WACHANGIAJI...[emoji120]
Is Wikipedia an authority to be relied to?
Hicho ni chama tu mkuu yaani hata Tanzania kama tuna waarabu 50 wanaweza apply tujiunge ila sio necessarily mpaka iwe nchi ya waarabu..... unaweza ukaona hta Brazil na venezuela wanaingia kwenye vikao vyao ilihali waarab hawafiki hata 10!!! Ni chama tuSo show me your authority inayosema comoros sio nchi ya kiarabu

Si kweli.... Mimi babu yangu alipelekwa Mtumwa akaoa muarabu na akamzaa baba yangu, baba alirudi nyumbani na kuoa na kisha kutuzaa sisi. Hata sasa ninavyo type msg hii nipo bara arabu kwa bibi zangu ambao wote ni waarabu.
Mashuleni wanafundisha Historia kupitia story ambayo Serikali inataka iwe. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, aliekuwa akiuza na kununua watumwa ndio hao hao wazungu wanaoabudiwa leo na kuonekana wa maana. Wamekuja Afrika wakafisidi rasilimali zetu, wakawachukuwa waafrika na kwenda kuwatuma marekani mashambani. Mwarabu kaja hata hakufika mbali, kaishia Lamu hapo basi tena utakuta story zinavozungumzwa kumfanya muarabu aonekane kinara wa utumwa, watu hata hawafikirii, kinara wa utumwa ata Uganda hajafika? Je wale waliotawala Afrika Nzima wao watakuwa nani? Tusirudi nyuma sana, SA tu apo si juzi jamaa katiwa kwenye shimo la mavi na wazungu?
Mwarabu kaja Zanzibar, kapapenda, akaleta Maendeleo, TV channel ya Kwanza Zanzibar, Taa barabarani kabla New york ni Zanzibar, Gorofa EA nzima ni Zanzibar, Mifereji majumbani kwanza Zanzibar, Zanzibar hio hio ilikuwa ikitoa misaada kwa uingereze wakati wa Vita, Leo eti wanasema Mwarabu kinara wa utumwa, Utumwa huo kamtuma nani? Hebu na waje waniambie, mwarabu kaondoka Zanzibar au Afrika na rasilimali gani? Karafuu zenyewe pemba kazileta Mwarabu kutoka bara la Asia uko.
Waniambie rasilimali waliowapokonya waafrika hawa waarabu ni ipi kiasi kwamba waitwe vinara wa utumwa?
Mpaka Kesho Afrika inaibiwa rasilimali na Wazungu, nenda Congo tu apo uone ukoloni wa mamboleo!
Walisema kuwa Beit Al Aab (house of Wonder) Nguzo zake zilijengwa kwa vichwa vya watumwa. Mungu Kawadhalilisha lile jengo miaka michache nyuma liliporomoka Nguzo, hakuna ata kipande cha mfupa wa kuku. Zile zama za kudanganywa zimekwisha, siku izi mambo yapo wazi!
Walisema Bi Khole alikuwa analala na mtumwa kila siku akisha anamkata uume wake..... Ukiwauliza ushahidi hawana! Wapo kuchafua historia ya watu tu, wanataka tuamini kuwa utawala wa kisultani ulikuwa wa kidhulma, huu wa saivi tuuite vipi basi? Zanzibar ipo nyuma kwenye kila kitu.
Kwahiyo Waarabu hawakufanya hiyo biashara?