Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Habari zenu watu wa JF..

Leo tupate kujua kidogo kuhusiana na hawa watu tunaowaita "Waarabu"...Nimepitia pitia kidogo nchi zao na pia kusoma vitabu vyao vinavyoelezea maisha yao...haya yafuatayo ndio niliopata kuyafahamu kutoka kwa "waarabu":-

1.Neno "uarabu"-"arab" ni neno linalowakilisha asili/tamaduni/culture na sio rangi kama wengi tujuavyo.

2.Duniani kuna nchi 22 za kiarabu,yani waishipo waarabu nazo ni-Lebanon,Syria,Morocco,misri,Tunisia,Iran,iraq,Jordan,kuwait,Qatar,Saudi arabia,Somalia,Djibouti,Comoro,Sudan,Palestina,Mauritania,Algeria,Oman,UAE,Bahrain na Yemen.

3.Waarabu wote sio Waislamu,Na Waislamu wote sio waarabu..ingawa kundi kubwa la waarabu ni waislamu,wachache sana ndio wakristo na Wayahudi.

4.Waarabu ni watu ambao wanawaheshimu sana Wazee na Watawala wao...Ni mwiko sana kukosoa,kudhihaki na hata kumfokea mtu aliyekuzidi umri au aliye mtawala wako.Wana Heshima yenye hofu kubwa yaweza ikawa kuliko taifa zingine zote.

5.Sio Mataifa yote ya kiarabu vazi lao la utamaduni ni kanzu,la hasha,bali yapo mataifa ya kiarabu ni nadra sana kumuona mtu kavaa kanzu nayo ni mojawapo Syria,Misri na Lebanon.

6.Kwenye Lugha ya kiarabu,lugha/ishara ya mwili(body language) ni kitu muhimu sana kuliko hata maongezi yenyewe..Pata muda tizama clips zao.

7.Lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha inayozungumzwa kwa mfanano karibia mataifa yote ya kiarabu...mfano kwenye kiingereza kuna kiingereza cha wales,australia,marekani n.k

8.Sifa kubwa ya waarabu katika ulaji chakula ni "kutumia mkono" yaani no kijiko no uma..hata awe tajiri kiasi gani dhana yake ya kwanza kwenye kula ni "mkono wake"..Hii imepelekea kupenda kuwa na hotel/migahawa yao mahsusi.

9.Ukiwa kwenye mkutano/meeting ni mwiko kutizama saa iwe ukutani au mkononi,ukifanya hivyo ni ishara ya kuwadharau walioko kwenye mkutano.

10.Mahusiano ya kifamilia/undugu yana nguvu sana kwa waarabu..kwa mfano unaeza kuta nyumba moja wanaishi karibia ukoo/yani bibi wa bibi mpaka babu wa babu na wajukuu wake.

11.Umri hauna nafasi katika kujitegemea yani kuwa huru na makatazo au amri au huduma za wazazi..yani mtu anaweza akafika hata miaka 40 lakini akawa anahudumiwa na wazazi wake.

12.kwa kawaida uchukua zaidi ya mwaka na miezi saba kujua lugha ya kiarabu kwa ufasaha.

13.kinywaji kikubwa katika nchi za waarabu ni kahawa...

AHSANTENI NI HAYO TU YA KWANGU....MENGINE KUHUSU WAARABU NAHISI TUTAYAPATA KUTOKA KWA WACHANGIAJI...[emoji120]
Naomba nipate ufafanuzi sentensi namba 3
 
Sasa hao Waarabu wana ustaarabu upi? Unafahamu wanayofanyiwa kina dada wanaokwenda kufanyakazi uarabuni?
Ukishakuwa Mwarabu huuhitaji ustaarabu. Unless uwe huelewi maana ya ustaarabu.

Hao wadada wa kazi hata hapa Tanzania wanadhalilishwa mpaka wamefikia kuitwa "beki tatu".
 
Ongeza hapo kuwa walipofanya biashara ya utumwa waliwahasi mababu zetu ili wasiweze kuzaliana. Na ndo maana pamoja na kwamba waarabu ndo walikuwa vinara wa biashara ya utumwa na watumwa wengi pia walipelekwa uarabuni hatuwezi kuona masalia ya viazi vya watu weusi kule uarabuni kama ilivyo African-Americans

Uliambiwa kanisani ngano hii ??
 
Mmejitakia kwasababu ya upumbavu wenu,ndo maana bush alichinja waarabu laki mbili na bado anadunda uraiani
Kuna wangapi kwan wamechinja na wapo uraian na wangapi wasio hatia wapo gerezan? Ujinga ulianza zaman
 
Kwa akili yako fupi ya madrassa huu nao Ni ushahidi,hivi are you mentally fit kweli?? Umesoma Hadi darasa la ngapi
Sijenda shule nimeishia madrassa, wewe mwenzangu smart ndio maana unaamini mungu kazaliwa. Cha kushangaza umequote same post na kutoa different replies, nafkiri uko smart sana kiasi Edit hujui maana yake.

Sasa bas we na elimu yako ya kanisa tupo ushahidi wako?
 
Ushahidi upi uliokuwa nao kuwa mababu zenu wamefanywa watumwa na waarabu? Sijui mnakuwa mnajitoa akili au ndio chuki zenu mkikosa la kusema! 😀 😀 😀 Nyerere aliwaambia wanawake wanafagilishwa barabara unguja kwa maziwa au nani kawafundisha mambo haya? Sio nyinyi mliokuwa mkiwauza ndugu zenu vijijini kwa wazungu kisa unapewa kioo ujitizame?

Nianze kukupangia kila nchi na Colonial Master wake akisha tutajua nani kashamiri kwa biashara ya utumwa?

Mwarabu katoka Oman kaja Zanzibar Enzi hizo, kufika tu, kaifanya Zanzibar Mji mkuu wa Oman. Ivi unaweza kunambia taifa gani limefanya ivo kwa Afrika zaidi ya kuwadharau tu? Nyie na CCM ya Zanzibar mkieneza chuki dhidi ya Waarabu, lakini walivokuja na meli yao kina Balozi wakafunga bandari hamna kazi kuwapisha waarabu waingie, mnajifanya watumwa kabla ya kutumwa 😀
Mkuu, samahani, we ni mwarabu pia? Au kama sio mwarabu, nijaalie kabila lako!? Maanake sio kwa povu hili aise!
 
Leta ushahidi kwamba machifu waliwauza watu weusi kwa kubadilishana na kioo,usituletee upuuzi uliodangnywa na sheikh madrassa,hapa sio facebook
Wewe ni mpuuzi tu, biashara ya watumwa unajua maana yake?

Unajua walikuwa wakiuzwa kwa pesa ngapi au Vito vya thamani gani.
 
Kwanza ieleweke hamna jamii ambayo inawza kujitoa kwenye lawama za biashara ya utumwa. Lakini inabidi kuelewa kuwa majina ya East Africa ARAB slave Trade dhidi ya West African Slave Trade ni mkakati wa wazungu hususan Wamissionary wa enzi zile kuwachora Waarabu kama kuwa ndio pekee waliokuwa wakifanya jambo hili. Wazungu WOTE waliokuja kutafuta vyanzo vya Nile au kuiona Milima na Maziwa kama Tanganyika walielekezwa na Waarabu hapo Unguja. Lakini HAMNA walipodiriki kulipa fadhila kwa kuwataja HAO waliowaelekeza.

Cha kukusaidia ni kwamba JIULIZE mbona pamoja na Waarabu kuwatangulia wazungu huku kwetu kwa miaka karibia 800, mbona HAMNA historia ya waarabu WAKIZIPIGA na wabantu?? Kwanini?? Kama kweli walihamisha wabantu wote kama watumwa (sisemi hawakufanya!!) mbona hamna mahali walizipiga?? Kuna mtu anapandikiza FITNA
Hivi kweli kabisa tunataka kubisha kwamba Waarabu hawakufanya biashara ya UTUMWA!?? Jamani, hebu tuache kutetea vitu visivyo teteeka. Africa mashariki nani alikua wa kwanza kufika kati ya Mzungu na Mwarabu!? Anyway, watu mnataka kutuaminisha kwamba eti waarabu sio makatiri, so hata hizi video za sasa hivi wanazo wafanya hasa dada zetu na baadhi ya wanaume wanao kwenda huko nazo ni UONGO!? Acheni hizo bwana.
 
Mkuu, samahani, we ni mwarabu pia? Au kama sio mwarabu, nijaalie kabila lako!? Maanake sio kwa povu hili aise!
Mimi mzanzibari, sijatoa povu apo..... wahka wako tu itakuwa.... tatizo mmepotoshwa na propaganda za kibara lakini ushahidi hamna....
 
Mimi mzanzibari, sijatoa povu apo..... wahka wako tu itakuwa.... tatizo mmepotoshwa na propaganda za kibara lakini ushahidi hamna....
Mi sija support wala kutetea, nilishangaa mkuu ulivyo kua mkali wakati topic wala haina uhusiano wowote na wewe Mnyamwezi wa Zanzibar!
 
Habari zenu watu wa JF..

Leo tupate kujua kidogo kuhusiana na hawa watu tunaowaita "Waarabu"...Nimepitia pitia kidogo nchi zao na pia kusoma vitabu vyao vinavyoelezea maisha yao...haya yafuatayo ndio niliopata kuyafahamu kutoka kwa "waarabu":-

1.Neno "uarabu"-"arab" ni neno linalowakilisha asili/tamaduni/culture na sio rangi kama wengi tujuavyo.

2.Duniani kuna nchi 22 za kiarabu,yani waishipo waarabu nazo ni-Lebanon,Syria,Morocco,misri,Tunisia,Iran,iraq,Jordan,kuwait,Qatar,Saudi arabia,Somalia,Djibouti,Comoro,Sudan,Palestina,Mauritania,Algeria,Oman,UAE,Bahrain na Yemen.

3.Waarabu wote sio Waislamu,Na Waislamu wote sio waarabu..ingawa kundi kubwa la waarabu ni waislamu,wachache sana ndio wakristo na Wayahudi.

4.Waarabu ni watu ambao wanawaheshimu sana Wazee na Watawala wao...Ni mwiko sana kukosoa,kudhihaki na hata kumfokea mtu aliyekuzidi umri au aliye mtawala wako.Wana Heshima yenye hofu kubwa yaweza ikawa kuliko taifa zingine zote.

5.Sio Mataifa yote ya kiarabu vazi lao la utamaduni ni kanzu,la hasha,bali yapo mataifa ya kiarabu ni nadra sana kumuona mtu kavaa kanzu nayo ni mojawapo Syria,Misri na Lebanon.

6.Kwenye Lugha ya kiarabu,lugha/ishara ya mwili(body language) ni kitu muhimu sana kuliko hata maongezi yenyewe..Pata muda tizama clips zao.

7.Lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha inayozungumzwa kwa mfanano karibia mataifa yote ya kiarabu...mfano kwenye kiingereza kuna kiingereza cha wales,australia,marekani n.k

8.Sifa kubwa ya waarabu katika ulaji chakula ni "kutumia mkono" yaani no kijiko no uma..hata awe tajiri kiasi gani dhana yake ya kwanza kwenye kula ni "mkono wake"..Hii imepelekea kupenda kuwa na hotel/migahawa yao mahsusi.

9.Ukiwa kwenye mkutano/meeting ni mwiko kutizama saa iwe ukutani au mkononi,ukifanya hivyo ni ishara ya kuwadharau walioko kwenye mkutano.

10.Mahusiano ya kifamilia/undugu yana nguvu sana kwa waarabu..kwa mfano unaeza kuta nyumba moja wanaishi karibia ukoo/yani bibi wa bibi mpaka babu wa babu na wajukuu wake.

11.Umri hauna nafasi katika kujitegemea yani kuwa huru na makatazo au amri au huduma za wazazi..yani mtu anaweza akafika hata miaka 40 lakini akawa anahudumiwa na wazazi wake.

12.kwa kawaida uchukua zaidi ya mwaka na miezi saba kujua lugha ya kiarabu kwa ufasaha.

13.kinywaji kikubwa katika nchi za waarabu ni kahawa...

AHSANTENI NI HAYO TU YA KWANGU....MENGINE KUHUSU WAARABU NAHISI TUTAYAPATA KUTOKA KWA WACHANGIAJI...[emoji120]
Wairan sio waarabu
 
kama comoro ni nchi ya kiarabu bas na zanzibar nayo itakuwa ni nchi ya kiarabu.
 
Mbona husemi vita vya Iraq na iran zaidi ya watu milioni mbili walikufa
Tena Ronald Regan ndo alimpatia Saddam kemikali za sumu akawaue wairan, maislamu mapumbavu Sana,halafu yanalalamika Marekani wanatuua wakati yanauana yenyewe, mwarabu kuchinjwa Ni upumbavu wake wa Imani yake amejitakia mwenyewe,na yalivyo mapumbavu hata hayajiulizi kwanini huyo Allah wao hawasaidii, Mohammed mwenyewe alikufa kibogoyo haya maislamu yaliyobaki ndo yatakufa hamna meno kabisa
 
Back
Top Bottom