Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Ahahaha naona kila upande una mtetea mkoloni wake utumwa fikra mbaya sana.
 
Acha ubishi usio naamaana wewe "" ..kutetea tetra ujinga tu ....""" Yule billali bin wabaa ...swahaba wa mtume ambaye alikuwa na asili ya Ethiopia alifikaje Makkah...wakati alikuwa mtumwa kule
Lily wine,rick rose,50cent, pogba,kante, walifikaje kule
 
Namba mbili hapo Libya siioni na Iran si Waarabu.
 
Una ushahidi??? Maana hata waarabu kuuawa na Marekani n Israel Ni choice yao,wamejitakia wenyewe
Unamaanisha kuwa Marekani kwenda kuuwa waarabu wa Iraq kwa kisingizio cha kumuondoa Saddam anaemiliki silaha kubwa za maangamizi ambazo baadae wakasema hakuwa nazo. Nakuekea hii mkuu, labda hawa mashekhe wa madrassawamejitakia wenyewe? Mbona unaandika ukanisa hapa 😀
 
Mmejitakia kwasababu ya upumbavu wenu,ndo maana bush alichinja waarabu laki mbili na bado anadunda uraiani
 
Kuna watu wafia dini hunu sijapata kuona, yani kuna mtu anabisha macho makavu kabisa eti WARABU SIYO WALIOFANYA BIASHARA YA UTUMWA.. hii nchi ina watu wa ajabu sana....
Dini yenyewe ina mambo ya kioumbavu sijapata ona, uislamu Ni utumwa wa kifikra
 
Iran- Waajemi, kumbuka kuna Wamedi ( Waarabu )na Waajemi-(Persians)
 
Wapo kwenye Umoja wa nchi za Kiarabu pia Comoros.

Kigezo kikubwa kuwa nchi ya Kiarabu ni lugha. Somalia na Comoro nadhani lugha za pili ni Kiarabu, Unaweza kusahihishwa.


Huu ndiyo ujinga wa waafrika wasiojitambua, wanapata faida gani kujiita waarab wakati waarab walishaambiwa na Mtume kuwa waafrika ni watumwa wenye pua zilizobondeka, Sahih Moslem: Vol. 9, Pg. 46 - 47. Na kwenye kitabu cha Hadith waafrika wako refered as 'raisin heads,' Bukhari: Vol. 1, number 662 na Vol. 9 namba 256, na pia waarab waliambiwa kuwa Mtume anawachukia watu weusi kwani wanamuudhi, Ishaq: Pg. 243.....yote haya yameandikwa kwenye vitabu vya Hadith na Qur'an lakini waafriak bado wanakuwa wajinga tu na hawataki kukubali ukweli. Mfano wewe FaizaFoxy hivi unapata faida gani kujifanya mwarab mweusi wakati hauthaminiwi hata kidogo? Whatever you do kujifanya mwarab bado unaonekana ni kinyago tu kwao kwa sababu ndivyo walivyoambiwa na mtume wao kuwa watu weusi ni watumwa tu, refer kwenye hizo references hapo juu, najuwa hautasoma kuogopa kujuwa ukweli.
 
Umemaliza?

Haya rudi kwenye hoja sasa.
 
Acha mnyanyaswe tu mpaka akili ziwakae sawa sababu na nyinyi hamjazuiwa kuwa na maendeleo na kuwaajiri waarabu na kuwanyanyasa mpendavyo.
"Being Slave is a Choice"-Kanye awest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…