Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Kuna dhana imejengeka kwamba kila anayevaa vazi la kanzu ni muislamu au mwarabu, kumbe si kweli, unaweza kumkuta mtu amevaa kanzu kumbe wala si muislamu kabisa. Miaka ya nyuma nilikuwa na safari nyingi za kikazi Unguja, na kila wikiendi wakati wa jioni hasa Ijumaa na Jumammosi nilipendelea kwenda Bwawani Hotel, wakati huo ndio kilikuwa kiwanja maarufu kwa ajili ya muziki wa disco, vyakula na vinywaji 'aina zote' na 'watu aina zote'. Wikiendi moja usiku mwingi nilikuwa nimekaa na wenzangu hapo Bwawani tukipata 'vyombo', na meza ya jirani walikuwepo 'waarabu watatu' wakiwa wamevaa kanzu huku wakiwa wamezungukwa na 'machangu kibao' na mezani kwao kukiwa kumefurika pombe za kila aina. Ni Taswira ambayo ilituchanganya wengi usiku ule. 'Waarabu' wale wanawezaje kunywa pombe na kuzungukwa na makahaba kwa uwazi bila kificho, tena kisiwani Unguja!!?? Ilitushangaza wengi, hata baadhi ya 'wenyeji' walianza kuhisi 'wanakwazwa' na uwepo wa 'waarabu' wale na vituko vyao. Ilibidi 'mwenyeji' mmoja aende kumwita polisi kuwahoji 'waarabu' wale kisa cha kuonesha tabia ile. Ilichukuwa dakika 2 tu 'kuimaliza kesi ile. 'Waarabu' wale walipoulizwa wakasema, wao si waarabu na wala si waislamu bali ni wakristo na wanatokea Lebanon, na aina ile ya mavazi kwao ni mavazi ya kawaida kabisa. Na wako Unguja kikazi, wanafanyakazi melini na kwa wakati huo meli yao ilikuwa ikishusha mizigo bandarini, nao wakaamua kuja Bwawani kujirusha.

Tangu siku ile nimejifunza kwamba si kila anayevaa kanzu ni mwarabu au muislamu.
 
Si kweli.... Mimi babu yangu alipelekwa Mtumwa akaoa muarabu na akamzaa baba yangu, baba alirudi nyumbani na kuoa na kisha kutuzaa sisi. Hata sasa ninavyo type msg hii nipo bara arabu kwa bibi zangu ambao wote ni waarabu.
mmh acha uongo biashara ya utumwa iliisha lini,na babaako kazaliwa lini mpaka akuzae wewe unaetype muda huu
 
kumbe utumwa upo hadi miaka hii
 
Sisi ambao hatuna pua zilizo pondeka je?
 
Itakuwa hujanielewa, sijatumia Bibilia wala Quran kuzungumzia historia ya utumwa. Nimetumia kwa ajili ya kukuonesha kuwa ndani ya kitabu kunaweza kuwemo ya ukweli na mengine ya uzushi, hivyo basi, hulazimiki kuamini chote isipokuwa yale ambayo ni ya kweli tu. Basi tutoke kwenye vitabu vya dini nikupe mfano mwengine.

Tujaalie mie nimetunga kitabu, ndani ya hicho kitabu nikataja majina ya marais tangu tupate uhuru, halafu ndani yake, nikasema kuwa rais wa awamu ya tatu alikuwa Dk. Ali Mohammed Shein. Je ikiwa marais wote nliowataja mwanzo ni sahihi ila nikazusha wa awamu ya kwanza, maanake wote nliowataja watakuwa nimewazusha?
 
Waarabu wanapenda vita sana, hili sikuliona humo kwenye sifa
 
Umesahau tabia ya kugegedana kinyume na maumbile, a.k.a tigo (0713...). Hawa waarabu ndiyo zao.
 
Wasyria wamisiri walebanon na wa iraqi hawa si Waarabu ila wewe unachanganya Ilamic culture na uarabu ! Ishmael baba ya Waarabu aliziwa baada ya mataifa hayo kuwepo. Halafu wale Iran (Persia) ni waajemi na acha kabisa uongo wako kuwa wayahudi ni Waarabu au toka lini Mwafrika akajiita mzungu ?
 
Kwani ,Roho Mtakatifu wako alikuambia mada ni kujilipua??
twende taratibu ni wapi nimeandika kujilipua? au unanichanganya na wengine
mbona rahisi tu kuwafahamu waarabu na silika zao!
tembelea Zanzibar Jumba la Makumbusho, Jumba la maajabu utapata yote ya hawa waarabu mazuri na mabaya usiingize Dini wala rangi
Ninachozungumzia ni ubaguzi wao wa rangi, wakati wana Nchi yao Oman Yemen Bahrain nk
 

Hata bila kuangalia picha watizame waafrika na ubaguzi wao , kama si CCM hupati kazi ukifuga ndevu wewe ni gaidi , muulize Tundu Lisu kapigwa risasi na waarabu? Mbowe kawekwa korokoroni na waarabu? wale masheikh waliofungwa jela na maelfu ya waislamu walioko korokoroni na hao wanaovunjiwa nyumba na madhila mengi yote ni waarabu
 
Waarabu wanaendeshwa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…