Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Exactly, halaf wanajiita eti wamestaarabika wanafanya mambo ya kishetan then wanajifanya sijui ustaarabu
 
Kanye West hajakosea. Tatizo watu hawautaki ukweli.

Chief anauza watu wake kwa wageni wakafanywe watumwa kwa sababu kapewa kioo 😀 😀 halafu kuna mashuhuda wa hilo na bado wanaendelea kumwita jamaa chief wao!
Wafua vyuma walikuwa wanakatwa mikono, je hiyo nayo was an African Choice??? ok by the way endelea kutetea ushetani wa babu zako its your choice
 
Acha kujitetea wewe mwarabu inabid utambue tu babu zako walikuwa wana roho mbaya same as mashetani end of story

Wee mwenyewe kwa haya majibu yako unaonesha ni mtu uliye na chuki wala si mtu mwema kama unavyotaka kujiaminisha,kwa kifupi una roho mbayaaaa wala huna la kujitetea katika hili mnafiki wewe.
 
Wee mwenyewe kwa haya majibu yako unaonesha ni mtu uliye na chuki wala si mtu mwema kama unavyotaka kujiaminisha,kwa kifupi una roho mbayaaaa wala huna la kujitetea katika hili mnafiki wewe.
Mimi kusema waarabu wana roho mbaya nimekosa???? Narudia tena waarabu walifanya ushetani na biashara yao ya utumwa, Prove me wrong
 
Mimi kusema waarabu wana roho mbaya nimekosa???? Narudia tena waarabu walifanya ushetani na biashara yao ya utumwa, Prove me wrong

Kama kuwa shetani kigezo chako ni biashara ya Utmwa pekee utakuwa umekosea, kwa kuwa biashara ya utumwa haijafanywa na waarabu pekee,hata hao wazungu kwa muda wa miaka mia nne walifanya biashara maarufu ya ya utumwa ya trans Atlantic slave trade ambayo kwa kiasi kikubwa ilichukua nguvu kazi ya waafrikakuwapeleka kwao kuwatumikisha.

Je waoni malakika?.
 
Wazungu kufanya biashara ya utumwa haifuti fact kwamba waarabu walifanya ushetani wote ni kapu moja
 
Namba 3 mbona hujaeleweka, umesema “waarabu wote sio waislamu” , yaani unamaanisha hakuna mwarabu ambae ni muislam.
 
Sasa hapo mkuu haujaelezea ni vp waarabu wameleta shikamoo,maana sijaona mahusiano ya hiyo shikamoo na waarabu,badala yake umezungumzia neno "marahaba".
Lugha ya kiswahili ina maneno mengi tuliyoyaazima toka lugha nyingine kama kiingereza, kiarabu na kireno. Na hiyo salama ya shikamoo na kiitikio chake ni moja ya vitu tulivyoazima toka kwa wageni.
 

Mkuu una hoja nzito za kuwatoa tongo Watanganyika wanaojiita maprofesa.
 
Umekazania zanziba zanzibar zanzibar zanzibar...



Nakukumbusha pia Mwarabu pia Alipita Ujiji,kilwa,Kondoa,kilosa,Bagamoyo,tabora,nzega,Mtwara n.k


Sasa naomba hoja zako zijikite na hayo maeneo mengine.



Hiyo Zanzibar yenyewe Njaa tupu.

Zanzibar ndio sehemu iliyokua Mji mkuu kipindi hicho hayo miji mingine ilikua kuna watawala wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…