Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Wewe ulivukwa na ubwabwa wa shingo, kwaio kitu kikiwa kimetokea karne na karne manake ndio kupotoshwe au? Ukweli upi niliopotosha? Kuwa Mwafrika alimuuza mwafirika mwenzake au?
dini ya majahazi imekufanya ushupaze shingo km ngamia?kichwa sio cha kufugia nywele wala kunyoa kiduku.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Wapo wengi kuliko unavyowaza. Ipo miji leo imebaki na watu weusi tupu na weupe wachache sana.
 
Povu linantoka mie ambae nae records sawa au povu linawatoka nyie wazungu weusi mlonyanyaswa afrika nzima? 😀
Tatizo watu mnapenda kukosoa bila kuweka hadharani vyanzo vya taarifa zenu. Mna base zaidi kwenye oral tradition. Jambo ambalo ni risk kwa walaji wa taarifa.
 
Ni kweli nchi za kiarabu(ARAB LEAGUE) ziko22, ila katika hizo ulizotaja wewe ziko 23, umeongeza Iran ambayo siyo, IRAN ni PERSIAN
 
Hizo ndizo Propaganda za Historia ulizoelezwa ya kuwa Watumwa walipelekwa Urabuni na kuhasiwa................Watumwa wengi walipelekwa Nchi za Ulaya na za Magharibi waarabu walikuwa wafanya Biashara wasioogopa hivyo kupewa Dili la kuleta watu kwa wazungu ili wakafanye kazi huko mpaka Mapinduzi ya Viwanda yalipofanyika ndipo hao hao Wazungu wakaona basi hawahitaji tena Watumwa....................!!!!! Someni Historia Vizuri na Uielewe kwa Kina............Dunia hii imejaa Propaganda sanaaaa.......
 
Umechangia Hoja Vizuri ila umeshangaza tu pale ulipoitaja chama chako CCM tu hivi huwezi changia hoja bila kutaja CCM.........??????!!!!!!
 


Fanya uchunguzi kabla ya kuandika ndugu, tizama timu ya Saudi Arabia, wapo kibao tena weusi kuliko mimi mimi na wewe !!!! Acha stori za kijiweni hizo, tembea au soma !!!
 
Yes mkuu that is true..but i was trying to describe what i have...
 
Nchi 22 za kiarabu halafu umetaja nchi kumi tu .Halafu Somalia na Comoro nazo ni nchi za kiarabu?..Kama Comoro ni nchi ya kiarabu ungeijumuisha na Zanzibar
Kwanini somalia na comoro sio nchi za kiarabu?
 
Nchi 22 za kiarabu halafu umetaja nchi kumi tu .Halafu Somalia na Comoro nazo ni nchi za kiarabu?..Kama Comoro ni nchi ya kiarabu ungeijumuisha na Zanzibar
Mkuu pitia kidogo wikipedia naona mna comment vitu ambavyo hamna elimu navyo...but no offense
 
Namba 3 mbona hujaeleweka, umesema “waarabu wote sio waislamu” , yaani unamaanisha hakuna mwarabu ambae ni muislam.
Kasome vizuri mkuu utaelewa..labd uwe sio mtanzania so kiswahili ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…