Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Mkuu Lebanon sio Waarabu na ukitaka kukosana nao waite Waarabu... Lebanon ni Phoenician.

Siku katiza ukutane na Hezbollah and then muite Arabs utaelewa kwanini hakuna mpingo Mweupe😀😀😀.

Kiufupi huna ujualo kuhusu Arabs umekusanya kusanya tu notice kadhaa na ukaongeza na ubunifu wako wa Uongo ili thread Inoge
 
Nitarudi baadae ila tukiweka pembeni suala la kihistoria, currently Waarabu ni miongoni mwa jamii katili sana haswa kwa watu weusi. Japo si waarabu wote ila asilimia kubwa sana ni wakatili mno.
 
Zikusanye nawewe mkuu hizo notice...hezbollar ndio taifa au kikundi tu cha wahuni km wa temeke...wew huyo hezbollah nahisi ulivyokutan nae kuna kitu kilitokea ebu tu habari na sie au ulizaa nae[emoji12]
 
Nitarudi baadae ila tukiweka pembeni suala la kihistoria, currently Waarabu ni miongoni mwa jamii katili sana haswa kwa watu weusi. Japo si waarabu wote ila asilimia kubwa sana ni wakatili mno.
Kwa mfano upi mkuu?!..mpk wawe wakatili?
 
mbona huja zungumzia ulaji wa kitimoto na vinywaji kama beer na club kujirusha na kuogelea na bikini
 
Hiyo namba 4 napingana nayo kabisa. Nenda kwenye viwanda na magereji ya akina ASAS ukaone wazee wanavyodharirishwa na vitoto vidogo vya kiarabu. Wanatukanwa matusi ya nguoni pamoja na uzee walionao na katoto kanakomtukana ni kama kajukuu kake
 
Is Wikipedia an authority to be relied to?
So show me your authority inayosema comoros sio nchi ya kiarabu
Hicho ni chama tu mkuu yaani hata Tanzania kama tuna waarabu 50 wanaweza apply tujiunge ila sio necessarily mpaka iwe nchi ya waarabu..... unaweza ukaona hta Brazil na venezuela wanaingia kwenye vikao vyao ilihali waarab hawafiki hata 10!!! Ni chama tu

Ni sawa na OIC kuna nchi kama kenya zina waislam chini ya 20% il bado zimejiunga.... Then mtu atokee aseme kenya ni nchi ya kiislam simply sababu ipo kwenye OIC hapana itakuwa ina mislead

So LIKUD hapa yuko sawa comoros sio nchi ya kiarabu ila ipo kwenye chama cha nchi za kiarabu
 
African King Apologizes for Africa’s Role in Slavery




It is a painful part of our past that often goes unspoken. When exploring the trans-Atlantic slave trade, it is rare to discuss the role of Africans in the selling and trading of other Africans. Recently, Kpoto-Zounme Hakpon III, the king of Porto-Novo, a province of the West African country of Benin visited Hobson City, AL. Hakpon was the guest of a local family, the Cunninghams, of whom he is distantly related.

While there, Hakpon offered his apologies to his American brothers and sisters. According to the Anniston Star:


“I want to apologize for the role my ancestors played in the slave trade,” Hakpon said through his translator. “I knew one day I wanted to come to this land and ask forgiveness of my black brothers and sisters. I wanted to cross the ocean to see the land where my ancestors suffered.”

To a loud applause, Hakpon told the Hobson City residents he was the first king of his nation to ever visit the United States. He hopes to maintain a relationship between Porto-Novo and Hobson City.

After his speech, the king exchanged gifts with the mayor of Hobson City. The king answered a few questions from residents after his speech, gave a blessing to the town and said he felt a spiritual connection with Hobson City.

Many of the residents were impressed by his visit. “For him to come all this way and to be interested in us here in little Hobson City, that means a lot,” said Dennis McKinney, the pastor at New Hope Ministry Baptist Church

Is it time to have an open dialogue about the role of Africans in the slave trade?


Chanzo: African King Apologizes for Africa's Role in Slavery - Your Black World
 
Naona watu wanahangaika sana, kwanza niwe muwazi, binafsi mimi ni muislamu, naweza kuchangia hiki kidogo nilichonacho

Uislamu ni kitu kingine na mwarabu ni kitu kingine, mwarabu nae ni binadamu km alivyo hussein wa nyamisati, andrew wa kwa mtogole na chausiku wa k/koo, so hakuna mkamilifu, mkamilifu ni mungu pekee yake, nakiri kuna waarabu safi na waarabu washenzi tena wale washenzi waliopindukia na hii ni moja ya sababu mitume mingi kupelekwa kule sababu ya ushenzi wao, binafsi naamin mitume ilipekwa pale kwa sababu kuu 2, japo kuna visababu vinhine vidogo vidogo kadhaa ila hizi mbili naona ni za msingi
1. Sababu ya ulimwengu kuanzia hapo, yaani kazi ya mitume ilikuwa ni kufundisha ya mungu, kukataza mabaya na kufundisha mema ili tupate kuishi vyema, kwahiyo manabii km nuhu na wengi wa mwanzo naamini walipelekwa pale sababu ya uwepo wa watu maeneo yale sitaki kuamin kipindi cha nuhu eti watu walikuwa wamesambaa mpaka china, amerika ya kusini huko au australia hapana, watu walikuwepo pale na ndio maana lina nuhu wakawepo pale

2. Sababu ya pili hii ni kutokana na ushenzi wa waarabu, sababu mitume mingi km kina muhammad na wengineo waliletwa kipindi ambacho dunia imesambaa,hata koguryeo ilikiwa tayaar imeexist, sehemu mbali mbali watu walikuwa tayar wameanxisha makazi mpaka africa watu tayar walikuwepo, sasa tujiulize waarabu walikuwa safi au washenzi mdio maana wakapelekewa mtume, mbona hakupelekwa hata kwa kina jumong, inawezekana mungu aliona hawa wengine wana moyo laini watapokea mafunzo, ila pia kikiharibika kizazi pale ulimwengu na mitume mingi imepitia basi ulimwemgu utaharibika kwa kiasi kikubwa(mungu ndio amajua zaidi) kipindi muhammad anakuja kuikamilisha kazi waliofanya kina nuhu, salehe, zakaria, daudi,yusuf, yakubu, yahaya, ayubu ibrahim, suleimani, mussa, issa bin marym na wengineo, ukichunguza hawa mitume wengi walikutana na visa, mikasa na ujeuri mkubwa wa watu wa mashariki ya kati, enzi za ujahilia kabla mtume kuna watu walikuwa wanazika watoto wa kike, kuna watu walikuwa wanabet kabisa kuwa mimba ile ni mtoto wa kiume ama wa kike nakupelekea kujikuta wanampasua huyo mwanamke ili kupata kuhakiki kilichomo, hebu we fikiria mwenyewe, na mambo kibao ambayo mtume muhammad(s.a.w) alikuja kuyakataza na kuleta sheria km nilivyosema alikuja kukamilisha kazi za mitume minginie na ndio maana karibia na kifo chake alisema ametukamilishia dini yetu, yaani alikuja kuweka viraka na kuziba mule kwenye mapungufu mfano katika torati ya musa kuna vitu vichache mnoo yeye alikuja kuongezea nyama mule kulipo pungua na kuleta ya ziada na kiada(nimekumbuka shule ya msingi) katika zaburi ya daudi na injili ya issa bin mariam pia kuna vitu havikuwemo yeye alikuja kuviweka sawa kukamilisha dini maana baada ya yeye hakukuwa na mwingine wa kuja ndio maana katika quraan unakutana na maelezo mengi, quraan imeelezea na kutufunza vingi baadhi ya vitu vichache ambavyo quraan ima imetolea maelezo au imetufunza ni

Ndoa(17)
Haki(16)
Madaraka/mamlaka(3)
Watoto(22)
Mavazi(7)
Wanyama(8)
Ndugu(25)
Wake(22)
Wanawake(41)
Interest(7)
Wealth(37)
Yatima(19)
Ujirani(1)
Ndoa(17)
Utu(28)
Tabia(9)
Kifo(11)
Maradhi(12)
Zawadi(24)
Kusamehe(28)
Vinywaji(11)
Talaka(5)
Rushwa(10)
Crime(65)
Earthquake(11)
Hivi vyote tumefunzwa vimeelekezwa ndani ya quraan na vingine vingi vingi.

Quraan pia imezungumzia mambo ya kisayansi mie napenda kuita science facts, quraan imezungumzia
1. Sky as a protector
2.function of mountains
3. Movements of mountains
4.orbits
5.wormholes
6. Atoms
7. Expanaion of universe
8. Sex of baby
9. Cerbrum
10.time relativity
11. Presence of iron
12deep sea and internal waves
13. Proportion of rain
14.identity of fingerprints
15 lowest point on earth
16. Pulsar and black hole
17. Clouds..

Hebu fikiria mtume alikuwa jangwani huko hakuwa mvuvi wala hakuwahi kufanya kazi za bahari ila kazungumzia bahari 2 zilizokitana bila maji yake kuchanganyana, mambo ya deep sea na internal waves, alizungumzia mambo yajayo km victory of romans, tujitahidi kusoma tujue ukweli wa mambo ile dhana ya ukitaka kumficha mtu ukweli uweke kwenye kitabu hapa huwa naiona saana.

Dhumuni halikuwa kuleta mambo ya udini katika uzi huu wa ndugu yangu, lengo lilikuwa ni kitofautisha baina ya uislam na mwaarabu, maana waislam wenzangu wanataka kufanya muarabu ndio awe nembo ya uislam kitu ambacho si kweli, enzi za nabii lut sodoma na gomora ilikuwaje si watu hao hao wa mashariki ya kati.. Waarabu nao ni watu km wengine kuna wema na washenzi pia. Niwatakie siku njema
 
4.Waarabu ni watu ambao wanawaheshimu sana Wazee na Watawala wao...Ni mwiko sana kukosoa,kudhihaki na hata kumfokea mtu aliyekuzidi umri au aliye mtawala wako.Wana Heshima yenye hofu kubwa yaweza ikawa kuliko taifa zingine zote.


kama ndio hivyo mkuu mbona kila kukicha wao na vita,vita na wao huo utii unaouzungumzia kwao ni upi.....???..maana mashariki ya kati ni moto... amabapo wao ndio wapo wengi..?
 
Si kweli.... Mimi babu yangu alipelekwa Mtumwa akaoa muarabu na akamzaa baba yangu, baba alirudi nyumbani na kuoa na kisha kutuzaa sisi. Hata sasa ninavyo type msg hii nipo bara arabu kwa bibi zangu ambao wote ni waarabu.

Mkuu hio bara arab ndio wapi????
Naomba jibu Mkuu
 

Mkuu umegonga Paaale paleee[emoji3][emoji3][emoji1317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…