Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Mkuu, ukitaka wawe mabubu waambie wakuletee picha za mwarabu akiwa na mtumwa, utakuta za kuchora tu. Hata picha za watu wapo kwenye mashamba ya karafuu humkuti warabu akiwa na bakora.

Wanakariri mambo ya shuleni
 
Itapendeza ukiweka na link uliyotumia kupigia chabo hizi taarifa. Ziko juu juu mno kama short-clips za youtube [emoji41]
 
Kwa hiyo unataka kutuambia Waarabu hawakuuza watu?,ba yale makumbusho ya watumwa pale Unguja yanamuongelea nani?,bora Mzungu japo kwa unafiki alikomesha biashara ya utumwa kuliko hao unaowatetea,bora mzungu aliwachukua waafrika utumwani lkn hakuwaasi na ndo maana kuna waafrika wengi katika nchi ambazo wazungu walisimamia utumwa..lkn Waarabu ni hovyo kabisa
 
Huenda hao ni wachache waliobahatika
 
Sina la kuongeza, mtu unaeona bora kuishi na mnafiki kuliko mbaya umjuae πŸ˜€ ukapimwe
 
Waarabu ni watu wabaya sana.Wamewatesa sana Babu zetu.Na mpaka Leo hii bado wanawanyanyasa ndugu zetu waafrika.Makampuni yote ta Waarabu wanawanyanyasa waafrika.Hebu jiulize au waulize wanaofuga wanyama anavyoteseka mnyama akihasiwa na fikiria binadamu aliteseka kiasi gani alipohasiwa?
 
Mkuu, ukitaka wawe mabubu waambie wakuletee picha za mwarabu akiwa na mtumwa, utakuta za kuchora tu. Hata picha za watu wapo kwenye mashamba ya karafuu humkuti warabu akiwa na bakora.
Mimi sijui historia vizuri ila naomba unijibu maswali haya ambayo nadhani kwa uelewa wako mkubwa katika hizi nyanja utanijibu. Vituo vya watumwa vya Pangani , Bagamoyo na Zanzibar vilisimamiwa na nani?. Nitafurahi sana kama wewe utatuletea picha za Wazungu na watumwa wa East Africa.

Black Americans wengi ambao ni matokeo ya utumwa wanasema origin yao ni maeneo ya africa magharibi. Je watumwa kutoka africa mashariki walipelekwa wapi?. Nitafurahi sana ukinambia japo kwa ufupi destination ya watumwa kutoka afrika mashariki.
 
Nasikia wanawake wao kuolewa na watu wa asili tofauti kama Waafrica ni mtihani sana
 
Leta ushahidi kwamba machifu waliwauza watu weusi kwa kubadilishana na kioo,usituletee upuuzi uliodangnywa na sheikh madrassa,hapa sio facebook
 
Kanye West hajakosea. Tatizo watu hawautaki ukweli.

Chief anauza watu wake kwa wageni wakafanywe watumwa kwa sababu kapewa kioo πŸ˜€ πŸ˜€ halafu kuna mashuhuda wa hilo na bado wanaendelea kumwita jamaa chief wao!
Una ushahidi??? Maana hata waarabu kuuawa na Marekani n Israel Ni choice yao,wamejitakia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…