THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
TPDC BOARD MEMBERSWewe ndio uliyesema kuwa bodi kama hizo zipo. Ukiambiwa uzitaje unakuwa na kigugumizi. Kama huna muda wa kuangalia dini za watu ulijuaje kuwa bodi lako lilikuwa na wagalatia watupu? Mimi sikukuambia ulete picha. Nimesema taja jina la shirika moja tu umeshindwa.
Amandla....
BINAFSII NIKIWAONA HUWA WANANIPA HASIRA SANA,NCHI HII INAENDELEA KUWA MASKINI KISHA WAPUUZI WAPUUZI WANACHOJUA NI KUIBA PESA NA KUPELEKA KANISANI KUTOA FUNGU LA KUMI,WEZI SANA KIMA😅😅😅Watu wajinga kabisa hawajielewi.
Mimi nadhani watoto wameishapelekwa shule, ndiyo maana sasa watoto hawa wanafanikiwa kupata nyazifa serikalini. Mimi sioni shida ofisi kushikwa na na watu wa dini moja, kabila moja, dhehebu moja, mkoa mmoja endapo tu ofisi hiyo itazalisha tija kwa ufanisi wa hali ya juu kutokana na majukumu ya ofisi hiyo.pelekenu watoto shule
Unajua bodi ni milele au zinakaa mda gani ? Nina hakika bila ya kutajwa hiyo bodi usingejua ,je kuna mashirika mangapi.Wewe ndio uliyesema kuwa bodi kama hizo zipo. Ukiambiwa uzitaje unakuwa na kigugumizi. Kama huna muda wa kuangalia dini za watu ulijuaje kuwa bodi lako lilikuwa na wagalatia watupu? Mimi sikukuambia ulete picha. Nimesema taja jina la shirika moja tu umeshindwa.
Amandla....
Na hawa wajumbe wa Bodi TCRA walikuwa wavaa Rozari?TENA SAMIA IKIWEZEKANA PIGA CHINI HIZO ROZALI ZOOOTE HUKO KWENYE HIZO BODI,HAO NDIO VINARA WA WIZI NA UFISADI NDANI YA NCHI HII,WAMETUFIKISHA SEHEMU MBAYA SANA
Sawa sawa. Sasa makaveli10 siku ukisikia idara/taasisi fulani wapo Wagalatia watupu muache kuja na vile vijarida vyenu vyenye list ya wasomi wa Kiislam. Nitakukumbusha siku mkianza kulalamikaAkili za udini zitatufikisha pabaya kama sio kesho basi keshokutwa ama mtondogoo.
Sasa hao walikuwa waislam kwani waislam walikuwa wanapata bando la bure ama?
Mie naona yeyote mwenye sifa ana haki ya kukaa haijalishi kabila wala dini yake.
Unajua bodi ni milele au zinakaa mda gani ? Nina hakika bila ya kutajwa hiyo bodi usingejua ,je kuna mashirika mangapi.
Nimekuambia wakati naanza kazi taasisi yangu board of directors wot walikuwa wagalati na haina shida na ilivunjwa pia na mkurugenzi mpya aliteuliwa kipind Magufuli alipoingi madarakani kwa uwiz.
Wewe unajua mashirika mangapi ya serikali😅😅.
Narudia maana bado mwanafunzi ukitaka kuwajua nenda kweny website za mashirika yao then angalia board of directors.!!
Upo kwenye nyumba ya vioo ujue....usimkorofishe 'kichaa' aliye karibu na nyumba hiyo huku ametazama lundo kubwa la mawe makubwa makubwa!KISHA AKIMBILIE KUJENGA
Tuache kubaguana kwa udini, ukabila, ukanda, nakadhalika...tupeane vyeo kulingana na uwezo tulionao.Sawa sawa. Sasa makaveli10 siku ukisikia idara/taasisi fulani wapo Wagalatia watupu muache kuja na vile vijarida vyenu vyenye list ya wasomi wa Kiislam. Nitakukumbusha siku mkianza kulalamika
Kuna aina nyingine za imani ukizishika zinakuondolea kabisa uwezo wa kufikiri.
By Ngorunde
Ukienda hapo TPDC tu mtihani yaani yapo mashirika kibao ,ishu ni vile huwezi kuweka taarifa .AKIENDA KUCHUKUNGULIA HAWEZI KURUDI,LAKINI POTELEA MBALI NGOJA TUTAWALETEA MAJINA YA JAMAA ZAO WALIVYOJAZANA HUKO,UTADHANI WANAFUNGUA VIGANGO VYA KANISA
Nishakuambia unauwezo mdogo kichwa panzi wewe.. unaandika kwa herufi kubwa ili tukuone umeandika? Inferiority complex kichwa panzi wewe. Sijasoma ulichoandika sababu najua unaandika pumbaOFCOURSE YES,WEWE HUSHANGAI PROFESA MZIMA ANAENDA KWA MWAMPOSA NA KUAMBIWA KANYAGA MAFUTA HAYA UTAPATA MTOTO,AU NUNUA HUU MCHANGA UKAMWAGIE NYUMBANI KWAKO UTAPATA BARAKA NA ANANUNUA,HUONI KAMA IMANI IMEMWONDOLEA KABISA UWEZO WA KUFIKIRI??
HIVI MGALATIA UNAWEZA VIPI MFANO UKACHUKUA PESA KAMA ZA ESCROW ZA WIZI KISHA UKAZIPELEKA KANISANI UTOE SADAKA??AKILI HIYO??
Ahahaha, kumbe ni akina Osman, fatuma,mzee, khalifa;
Shirika lazima
Alitaka kusema Muda mwingi walikuwa wako idadani. Kila akienda kuwatembelea anaambiwa wako kuswali, hivyo kazi ya mama ilikuwa haiendi atakavyo.Tukishawafaham itasaidia nn au lengo lako lilikuwa nini.?
Uhandisi wa makaratasi tu haoNi makosa makubwa kufikiria kila mhandisi ni mbobezi na ana msaada pale atakapowekwa. Kuna wengine wanatembelea nyota ya uhandisi. Ukiona wanayofanya unashangaa kama kweli zimo zote
AiseTPDC BOARD MEMBERS
- HON.AMB.OMBENI SEFUE. CHAIRMAN. Retired Chief Secretary of the United Republic of Tanzania.
- MS. RUTH ZAIPUNA. MEMBER. ... MGALATIA
- PROTASE ISHENGOMA. MEMBER. Prominent Lawyer in Oil and Gas Sector. MGALATIA
- DISMAS FUKO. MEMBER. ...MGALATIA
- AMB. PETER KALLAGHE. ... MGALATIA
- PAUL MAKANZA. MEMBER MGALATIA