THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Nchi hii wote wezi tu hakuna cha waislam wala wakristo
Ova
Teh teh duniani gani hiyoUNACHOTAKIWA KUJUA MISIKITI SIYO KAMA KWENU MAKANISA,SISI NI HARAMU KUCHUKUA FEDHA YA WIZI NA KWENDA KUJENGEA MISIKITI,HIYO NI HUKO KWENU NYINYI,MFANO TUH HAPA KARIBUNI WEZI WAKUBWA MNACHUKUA FEDHA ZA UMMA ZA ESCROW BILLIONS OF MONEY MNAKIMBIZIA MAKANISANI,HAMNA LOLOTE WAIZI WAKUBWA NYIE
Mwanzo nimekwambia Kuna Uzi upo humu unaongelea CV za hao wajumbe ukaniambia nikupe huo Uzi, nimekupa Uzi na nikakuambia soma post #22 bado unaniambia nikuwekee CV.Ni kweli nina matatizo kichwani. Weka basi hizo CV za wajumbe wa bodi ulizosema zimo humu humu. Mnapenda mno kusema uongo mkidhani mko kijiweni. Au haujui CV ni nini? Nitakurahisishia, tuambie elimu, taaluma, wadhfa tofauti walizoshika za angalau watatu katika hiyo bodi.
Amandla...
Bora umejijua we ni lijinga!Ujinga wetu tunatumia mda mwing kujadili vitu vya ovyo!
Aliyeanzisha udini mwambieKwa mfano wewe ulitakaje? Je serikali ina dini!?
Msafi nani nchiMAJITU YA HOVYO KWELI KWELI,WATU WANA SHIDA YA MAJI,UMEME,BARA BARA MIAKA NENDA RUDI,
NYINYI MNAIBA FEDHA MNATOROSHA NJE YA NCHI,WENGINE VERY PROUD KILA JUMA PILI KUKIMBIZA HIZO FEDHA ETI KUTOLEA SADAKA YA FUNGU LA KUMI,,REALLY??
MFANO ILE ISHU YA ESCROW,MAJITU HAYANA HATA AIBU YANACHUKUA FEDHA ZA WIZI KWENDA KUGAWA MAKANISANI,HOVYO KABISA
Kwa hiyo unaamini akiteuliwa mkatoliki ni uwakilishi mzuri wa ukristo kwa msabato, kwamba msabato ataridhika amewakilishwa?Tunaangalia wingi. Sio kila mtu anaweza kupata uwakilishi. Rastafarians, wahindu, wajain, wabahai, ma Buddhists n.k. wakifikia kila mmoja angalau asilimia 20 ya population wataweza kudai uwakilishi. Hata tunapozungumzia ukristu na uislamu hatusemi kila dhehebu (wakatoliki, SDA, wasunni, washia n.k.) lililokuwemo katika dini hizo ni lazima lipate uwakilishi.
Amandla...
Ha ha ha haaa !HOW DO YOU FEEEL??
Mara nyingi mie si mlalamikaji wa upuuzi upuuzi..Sawa sawa. Sasa makaveli10 siku ukisikia idara/taasisi fulani wapo Wagalatia watupu muache kuja na vile vijarida vyenu vyenye list ya wasomi wa Kiislam. Nitakukumbusha siku mkianza kulalamika
Msafi nani nchi
Ova
Nyie waabudu sanamu na jiwe mna nini cha maana mnafanya mkipewa nafasi? Ndiyo maana Mama Samia kaona awale kichwa kabla hamjaharibu zaidi hapo TCRA
Ha ha ha haaaa!Msafi nani nchi
Ova
Nia sio kuwaridhisha waumini wa dini hizi. Nia ni kuwa na wigo mpana wa uzoefu. Unapokuwa na bodi inayosimamia mawasiliano ni vizuri kuwa na watu watakaoweza kueleza kwa nini upande mmoja unachukizwa na mambo ambayo wanaona yanagusa jamii yao. Msunni ataelewa zaidi kwa nini muislamu mwenzake amechukizwa na vitendo fulani kuliko mgalatia. Na mgalatia nae atamfahamisha kwa nini hilo halimsumbui. Sijazungumzia proportionality. Usemi ni kuwa serikali haina dini lakini raia wake wana dini. Kujifanya haioni hilo ni kujidanganya. Siku hizi karibu kila kikao kinafunguliwa kwa sala na dua. Huo ndio ukweli wenyewe.Kwa hiyo unaamini akiteuliwa mkatoliki ni uwakilishi mzuri wa ukristo kwa msabato, kwamba msabato ataridhika amewakilishwa?
Au akiteuliwa muislam wa Shia, itamridhisha msunni kama Ponda?
Kwa ujumla utaratibu wa kusema serikali haina dini ni utaratibu mzuri kuuzingatia. Dini isiangaliwe kwa vyovyote katika uteuzi au nafasi zozote za utendaji. Waangalie tu sifa zingine za elimu, ujuzi na uzoefu n.k. Ukisha angalia tu mgawanyo wa kidini mwishowe itafika huko ambako madhehebu yatataka yawakilishwe proportionally.
Mbona hukuwataja Chief Internal Auditor, Chief Accountant na Agricultural Planning Manage?Vipi kuhusu hizi kenge zilizowekwa na yule mfu alikwisha oza saa hizi utadhani ni baraza la kanisa ili wapige na kudhulumu korosho za wakulima
ADMINISTRATION BODI YA KOROSHO
RETIRED.BRIG. GENERAL ALOYCE DAMIAN MWANJILE
Board Chairman
FRANCIS ALFRED
Director General
REUBEN PUTAPUTA
Acting Director of Finance and Administration
REVELIAN .S. NGAIZA
Acting Director of Marketing and Quality Control
LUSESHELO SILOMBA
Director of Agriculture and Processing
Hii nchi kuna watu hufikiri wakiamka asubuhi na kwenda kwenye mihangaiko yao wanafikiri ndiyo hivyo.Mimi sijawahi kujua faida za mtu ninaefanana nae dini au kabila na siyo ndugu yangu aliye kitengo kwamba huko kufanana nae kunanisaidiaje kwenye mzunguko wangu wa maisha?
Kwanza hanijui,nikijipendekeza atanikataa nadhani faida zipo kwenye familia zao siyo sisi tusiowajua so hili siyo jambo kubwa kiasi hicho .
Cv zao ilikuaje. Huenda hamna kitu hapo. Yaani mamlaka muhimu inaenda kupewa bodi kichaa. Unakuta management ndio inaendesha bodi badala ya bodi kudhibiti na kuendesha management. Haya mambo ya ujinga yanatumaliza.Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake
MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)
View attachment 2808520
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 8la hangaya kituko sana aisee!Walikua wajumbe wa bodi ya tcra au wajumbe wa baraza la msikiti?