THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
TPDC BOARD MEMBERSMaza ni mdini haswa
wametenguliwaKwani wamefanya nini? 😂 😂 😂 😂 😀 😀 😀 😀 😀 😀
wametenguliwa
Umekwenda vibaya, na umeandiga kuwa ni wagalatia wakati mimi nimesema wasihusishwe na uislamu.TPDC BOARD MEMBERS
- HON.AMB.OMBENI SEFUE. CHAIRMAN. Retired Chief Secretary of the United Republic of Tanzania.
- MS. RUTH ZAIPUNA. MEMBER. ... MGALATIA
- PROTASE ISHENGOMA. MEMBER. Prominent Lawyer in Oil and Gas Sector. MGALATIA
- DISMAS FUKO. MEMBER. ...MGALATIA
- AMB. PETER KALLAGHE. ... MGALATIA
- PAUL MAKANZA. MEMBER MGALATIA
Nini sifa ya kuwa mjumbe wa bodi?TPDC BOARD MEMBERS
- HON.AMB.OMBENI SEFUE. CHAIRMAN. Retired Chief Secretary of the United Republic of Tanzania.
- MS. RUTH ZAIPUNA. MEMBER. ... MGALATIA
- PROTASE ISHENGOMA. MEMBER. Prominent Lawyer in Oil and Gas Sector. MGALATIA
- DISMAS FUKO. MEMBER. ...MGALATIA
- AMB. PETER KALLAGHE. ... MGALATIA
- PAUL MAKANZA. MEMBER MGALATIA
Hapo kwa wanawake, ni issues za AFFIRMATIVE ACTION ili kuongeza uwepo/uwakilishi wa jinsia ya kike kwenye hizo fursa. Vipi, unataka tutumie principles hizo hizo ili kubalansi udini?WEwe huoni Shida.
Kwanini Serikali ikitunga sheria inasema LAzma kuwe na viti maalum na itapewa binadamu wenye jinsia ya KE?
Kwanini Baraza la kata Linasema lazma liundwe na wajumbe watano na WAwili lazma wawe wanawake?
Kwanini raisi aliyeko madarakani na wapambe wake kila siku wanasema HUU NI WAKATI WA WANAWAKE?
wewe ndio una mawazo peke saana duniani?
Kwahiyo ulipossema sijui siyo kila john ni mkristo na shaban ni muislamu unataka akutetea ama kuleta hoja gani?
Maza ni hatari snMaza nae hata hajishtukii?hivi NSSF nasikia nako default setting?
WAGALTIA MNAPASWA KUJUA MFUMO KRISTO NCHI HII HAUNA TENA NAFASI,ZAMA ZA KULEANA LEANA ZIMEISHA NA KILA MTANZANIA ANA HAKI YA KUPATA NAFASI YYTE KATIKA NGAZI YYTE NDANI YA SERIKALI,WAKIWA WAISLAM KAMA HAO WANA HIZO NAFASI WEWE UNAUMIA NINI??Maza nae hata hajishtukii?hivi NSSF nasikia nako default setting?
Wahindu na rastafarians na atheists watawakilishwa vipi kama tutaangalia wakristo na waislam tu?Unakosea. Umuhimu wa kuwa na watu wa dini tofauti ni kuongeza uwezo wa bodi kuangalia ishu kutoka pande zote. Ukiwa na waislamu na wakristu Bodi itaweza kuelewa namna uamuzi wao unaweza kuwagusa watu wa dini hizo. Ni kama vile uwepo wa wanawake unaleta "lived experience" ya wanawake katika bodi. Diversity ni muhimu sana katika taasisi yeyote.
Amandla...
Mbona wajumbe wote kumbe walikuwa ni swala tano
Enzi za Mwinyi misikiti iliota kama uyoga na hapo kwenu Mtwara kuna misikiti imejengwa kwa fedha za umma! Huo si ufisadi?
Vipi huo msikiti aliyojenga Mwinyi hapo Mtwara alitumia mshahara wake? Hapo sokoni kuna msikiti aliyojenga padri mmoja na kununua kipaza sauti, fedha hizo si zilichangwa na wakristo?UNACHOTAKIWA KUJUA MISIKITI SIYO KAMA KWENU MAKANISA,SISI NI HARAMU KUCHUKUA FEDHA YA WIZI NA KWENDA KUJENGEA MISIKITI,HIYO NI HUKO KWENU NYINYI,MFANO TUH HAPA KARIBUNI WEZI WAKUBWA MNACHUKUA FEDHA ZA UMMA ZA ESCROW BILLIONS OF MONEY MNAKIMBIZIA MAKANISANI,HAMNA LOLOTE WAIZI WAKUBWA NYIE
Maza ni hatari sn
Vipi huo msikiti aliyojenga Mwinyi hapo Mtwara alitumia mshahara wake? Hapo sokoni kuna msikiti aliyojenga padri mmoja na kununua kipaza sauti, fedha hizo si zilichangwa na wakristo?
UNACHOTAKIWA KUJUA MISIKITI SIYO KAMA KWENU MAKANISA,SISI NI HARAMU KUCHUKUA FEDHA YA WIZI NA KWENDA KUJENGEA MISIKITI,HIYO NI HUKO KWENU NYINYI,MFANO TUH HAPA KARIBUNI WEZI WAKUBWA MNACHUKUA FEDHA ZA UMMA ZA ESCROW BILLIONS OF MONEY MNAKIMBIZIA MAKANISANI,HAMNA LOLOTE WAIZI WAKUBWA NYIE
TENA BORA IKIBIDI BODI ZOTE NA TAASISI ZOTE WAWE HAO HAO,SHIDA YENU NYINYI NI WIZI NA UFISADI,HAKUNA MNACHOWEZA BORA ZAIDI ZAID YA KUIBA NA KUKIMBIZIA PESA MAKANISANI TUH
Mkuu, wakati mwingine unaweza kuwa unashambulia kumbe unajishambulia mwenyewe.
Hebu tuambie, hizo fedha za umma za Escrow zilichukuliwa na kupelekwa makanisani mkuu wa nchi akiwa nani? Na alichukua hatua gani?
Acha kuwazia kidini dini muda wote.
We unaamani kati ya hao watu hakuna jizi hata moja?
Au unafikiri waislam huwa hawaibi?
sheria za kukata mikono ziliwekwa wakijua kabisa kuna majizi na vibaka hata kwenye hiyo dini. Mimi binafsi niliporwa simu na kibaka mwenye majina ya kijihad. Sasa hivi yupo jela.