Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)
 
Wafahamu Makamishna/Wajumbe wa Tume HURU ya Uchaguzi na wasifu wao,


1. Mheshimiwa Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele - Mwenyekiti wa Tume,

2. Mheshimiwa Jaji wa Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk - Mjumbe/Kamishna,

3. Mheshimiwa Jaji Mahakama Kuu Asina A. Omari - Mjumbe/Kamishna,

4. Mheshimiwa Balozi Omari Ramadhan Mapuri - Mjumbe /Kamishna - Katibu Mwenezi CCM [Mstaafu], Balozi & Waziri Mambo ya Ndani [Mstaafu],

5. Mheshimiwa Magdalena Kamugisha Rwebangira - Mjumbe/Kamishna,

6. Mheshimiwa Dr. Zakia Mohamed Abubakar - Mjumbe/Kamishna.


SUMMARY
DINI: Waislam - 4
Wakristo - 2

JINSIA: Wanaume - 3
Wanawake - 3

CHAMA: CCM - ?
Upinzani - ?

Upande wa Muungano: Tanganyika - 4
Zanzibar - 2

ELIMU:
PhD/LLD- ?
Master degree-?
Bachelor degree - ?
Diploma -?
Certificate -?
Form 6 -?
Form 4 - ?
Standard 7 - ?
Source: INEC | Wajumbe wa Tume
 
Makada wa CCM wote hao, unasoma, unapandishwa cheo halafu unakua na maamuzi ya Mtoto Mdogo....
 
Hii ni aibu tume Huru inatakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…