Warumi unanivuruga tena patachimbikaje leo humu
Binamu umeshindaje? Nilikuwa kwenye majukumu ya kujenga taifa si unajua kazi na dawa?, nimerud aiseeh..[/QUOTE
Poa lete mambo au leo utakuwa busy na my wiii si unajua leo ni siku ganii
Binamu umeshindaje? Nilikuwa kwenye majukumu ya kujenga taifa si unajua kazi na dawa?, nimerud aiseeh..[/QUOTE
Poa lete mambo au leo utakuwa busy na my wiii si unajua leo ni siku ganii
wi wako nae ananivuruga tu, yaan kagoma kupokea zawadi zote na mitoko niliyomuandalia, anasema anataka nikamtambulishe home, yani nimevurugwa kweli binamu
wi wako nae ananivuruga tu, yaan kagoma kupokea zawadi zote na mitoko niliyomuandalia, anasema anataka nikamtambulishe home, yani nimevurugwa kweli binamu
Toka jana nikuvurugwa tu sasa hutaki kumtambulisha kwa nini ngoja matola apaone hapa
Basi kama hutaki yeye akupeleke kwao akakutambulishe
Ukinyang'anywa usitulilie humu oohh
eh...waweke kadi za kuonyesha umiliki sio kupiga nayo picha.....
Audi ya Wema ishachukuliwa,hana jipya
Audi ya Wema ishachukuliwa,hana jipya
la diamond au chief kiumbe
mbona siioni binamu
Mbona wengine wanayo hapo mjini?
kwahiyo unataka kumtafuna tu then umwage halafu baadaye ukamtambulishe kwenu mwingine? vijana acheni kucheza na hisia za wenzenu.wi wako nae ananivuruga tu, yaan kagoma kupokea zawadi zote na mitoko niliyomuandalia, anasema anataka nikamtambulishe home, yani nimevurugwa kweli binamu
Tatu Bora imenikumbusha my sheria class nilipokuwa college.......Possesors.....
06. Ommy Dimpoz
Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.
05 . Ney wa Mitego
Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.
04 . Wema Sepetu
Wema Sepetu anamiliki gari aina ya
Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.
03 . Lady Jaydee
Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.
02. Irene Uwoya
Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.
01 . Diamond Platnumz
Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.