Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Binamu umeshindaje? Nilikuwa kwenye majukumu ya kujenga taifa si unajua kazi na dawa?, nimerud aiseeh..[/QUOTE

Poa lete mambo au leo utakuwa busy na my wiii si unajua leo ni siku ganii
 
Binamu umeshindaje? Nilikuwa kwenye majukumu ya kujenga taifa si unajua kazi na dawa?, nimerud aiseeh..[/QUOTE

Poa lete mambo au leo utakuwa busy na my wiii si unajua leo ni siku ganii

wi wako nae ananivuruga tu, yaan kagoma kupokea zawadi zote na mitoko niliyomuandalia, anasema anataka nikamtambulishe home, yani nimevurugwa kweli binamu
 
wi wako nae ananivuruga tu, yaan kagoma kupokea zawadi zote na mitoko niliyomuandalia, anasema anataka nikamtambulishe home, yani nimevurugwa kweli binamu

Toka jana nikuvurugwa tu sasa hutaki kumtambulisha kwa nini ngoja matola apaone hapa
Basi kama hutaki yeye akupeleke kwao akakutambulishe
Ukinyang'anywa usitulilie humu oohh
 
Ingekua imetoka gazetini ivi ningesema muandishi kanjanja maana habari full mahaba uyu Wema huu mpira wenye nao wameuchukua,Diamond kaka Chief kasema kampa atoe gundu,Uwoya hajui hata kadi ilipo hapo nguli ni Jide 2 maana kuna wasanii hizo mark X zinasubiri ila hawana mbwe2.
 
inaonekana hujui thaman ya magari, mark x pale yard kinondoni bei ya kuanzia ni mil 25 kabla hujaongea, iyo benz ya uwoya si yake ni ya mshkaj flan alikua anamla ila kwa sasa huyo mshkaj kashamwaga mzigo so huwez kumuona akipiga picha nayo tena!!! v8 kwa sasa bongo haivuki mil 100 kwa sababu ni gari ya 2010 get real my friend!!!

kuna mtu anayejua wema sepetu chanzo chake cha pesa???
 
Akili hauna yaani evoque mil 65!Hujui magari sio bure!Range ya kibwege tu zaidi ya million mia afu evoque ndo 65!Wema na uwoya wote washapokonywa hayo magari
 
06. Ommy Dimpoz

Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.

05 . Ney wa Mitego

Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.

04 . Wema Sepetu

Wema Sepetu anamiliki gari aina ya
Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.

03 . Lady Jaydee

Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.

02. Irene Uwoya

Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.

01 . Diamond Platnumz

Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.

Sio kweli, mark x imezidi sana ml20. Tu
 
wakiwa nayo sishangai ila kama hawana ndo nitashangaa kwa jinsi wanavyoyapamba magaziti pendwa
 
Back
Top Bottom