Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Janaume zima kujivunia umbeya angalia usije kupigwa ----.

Mimi naweza kuwa Nina afadhali kuliko wewe, niambie wewe humu umefuata nini? Umenifuata Mimi au thread? Achana na Mimi bwana matola, unaonaje kama ukinipotezea kama wanavyofanya wengine ? , wote tupo jukwaa moja tunafanya kitu kimoja, unanichukia ili iweje?
 
Warumi sie tunasubiri bana :thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
06. Ommy Dimpoz

Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.



05 . Ney wa Mitego

Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.





04 . Wema Sepetu

Wema Sepetu anamiliki gari aina ya
Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.



03 . Lady Jaydee

Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.



02. Irene Uwoya

Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.



01 . Diamond Platnumz

Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.

Sasa mark X nalo utasema mkoko wa gharama au we ndio umefika mjini?
 
Wee binamu tulia kwanza, nshavurugwa mwenzio apa[/QUOTE

Achana na Matola huu ukumbi wetu yeye anaingilia fani aende siasan
Matola nenda basi hata jukwaa la wakubwa ukapunguze jazba kule
 
Warumi unanivuruga tena patachimbikaje leo humu
 
Namaanisha hapo ni filamu za ukweliukweli ndizo zinawapa possesion ya magari......Note....POSSESION sio OWNERSHIP.....Investors wako makini!

Comment bora kwangu tangu mwaka huu uanze
 
Wema hana audi! Na Diamond hiyo gari si yake ni ya Chief Kiumbe, Lady JD salute anamiliki mkoko wa maana.
 
namba 4 mmiliki halali ashalichukua bado namba1.tatizo watu wanapenda maisha ya kifahari kupitia migongo ya watu.
 
mmeziona kadi za gari au kwa niaba ya shigongo..@!!!
 
07. NOKLA anayemiliki gari aina ya Toyota starlet lenye thamani ya zaidi ya milioni 29.5 za kitanzania

Eeh ndo zao wanajiropokea tu, sitashangaa hat vits ya wastara kanunua million 50
 
Back
Top Bottom