Tunapotaka chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na hao viongozi kupata haki ya kuheshimiwa. Sio wanaingia madarakani kwa njia zisizo za heshima kisha watake heshima baada ya kubaka uchaguzi.Ni Rais wa Inchi yako
Ni Heshima tu, kwani utapungukiwa na nini ukimheshim ?
Watu wangapi unawaheshim na sio Baba yako?
Rais wa inchi yako ni kumuheshim tu
Tunapotaka chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na hao viongozi kupata haki ya kuheshimiwa. Sio wanaingia madarakani kwa njia zisizo za heshima kisha watake heshima baada ya kubaka uchaguzi.
Kwa taarifa yako hakuna mtu au chama chochote kitashindwa kuendesha nchi hii. Angalia kwenye nchi zinazotuzunguka kote huko kulikuwa na vyama vinavyoongoza muda mrefu, na porojo zilikuwa hizi hizi kuwa hivyo vyama vingine havitaweza. Nitajie nchi yoyote kati ya hizo qmbazo vyama vya muda mrefu havipo, na hizo nchi kushindwa kuendelea. Tukianzia na Kenya, Zambia, Malawi nk.My brother Tindo
Kwa Tanzania hii, hata kama ccm wakijitoa kwenye uchaguzi,
Chadema hawez kuongoza hii inchi never
Kuna baadhi ya mambo lazima uelewe Tu
Watu wengi wa chadema ni kutoka ccm anapata fund kutoka ccm wanapata mambo mengi kutoka ccm
So ni ngumu chadema kuongoza Tanzania because wengi ni ccm
Kwa sasa Tanzania ndio kimbilio na chaguo namba moja la watalii, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wawekezaji.
Kenya ni chambo tu. Hakuna kitu kuleTanzania na kenya zinashindana kupanua magoli ili wawekezaji waingia
Nimelia sana baada ya kusoma hapa umenikumbusha yule mzee namna alikuwa anapambania hili taifa ila watu na dharau zao wakachukulia poa efforts zake.Walikimbilia Kenya sababu nchi ilikuwa na Raisi. Kwa sasa wanarudi maana nchi ipo kama haina raisi ni hela yako tu unajifanyia utakavyo watchdogs wengi ni wala rushwa tu.
Hamna restrictions ni sawa na beseni la mikate limetupwa kwa wanafunzi wa form 4 ni mwendo wa kupiga scramble tu.
Hatuendelei kwasababu ya unafiki kila kitu samia. Chura kiziwi haeleweki KABISANakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai
Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.
Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.
Mama ni nguli wa uchumi
Kwani we humuelewi? Wapi huelewi. Mbona watanzania wote wanamuelewa. Subili kura ndo utaonaHatuendelei kwasababu ya unafiki kila kitu samia. Chura kiziwi haeleweki KABISA