Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

Ni Rais wa Inchi yako
Ni Heshima tu, kwani utapungukiwa na nini ukimheshim ?

Watu wangapi unawaheshim na sio Baba yako?

Rais wa inchi yako ni kumuheshim tu
Tunapotaka chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na hao viongozi kupata haki ya kuheshimiwa. Sio wanaingia madarakani kwa njia zisizo za heshima kisha watake heshima baada ya kubaka uchaguzi.
 
Tunapotaka chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na hao viongozi kupata haki ya kuheshimiwa. Sio wanaingia madarakani kwa njia zisizo za heshima kisha watake heshima baada ya kubaka uchaguzi.

My brother Tindo

Kwa Tanzania hii, hata kama ccm wakijitoa kwenye uchaguzi,

Chadema hawez kuongoza hii inchi never

Kuna baadhi ya mambo lazima uelewe Tu

Watu wengi wa chadema ni kutoka ccm anapata fund kutoka ccm wanapata mambo mengi kutoka ccm

So ni ngumu chadema kuongoza Tanzania because wengi ni ccm
 
My brother Tindo

Kwa Tanzania hii, hata kama ccm wakijitoa kwenye uchaguzi,

Chadema hawez kuongoza hii inchi never

Kuna baadhi ya mambo lazima uelewe Tu

Watu wengi wa chadema ni kutoka ccm anapata fund kutoka ccm wanapata mambo mengi kutoka ccm

So ni ngumu chadema kuongoza Tanzania because wengi ni ccm
Kwa taarifa yako hakuna mtu au chama chochote kitashindwa kuendesha nchi hii. Angalia kwenye nchi zinazotuzunguka kote huko kulikuwa na vyama vinavyoongoza muda mrefu, na porojo zilikuwa hizi hizi kuwa hivyo vyama vingine havitaweza. Nitajie nchi yoyote kati ya hizo qmbazo vyama vya muda mrefu havipo, na hizo nchi kushindwa kuendelea. Tukianzia na Kenya, Zambia, Malawi nk.
 
Kwa sasa Tanzania ndio kimbilio na chaguo namba moja la watalii, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wawekezaji.
Mazingira ya Biashara Tanzania magumu sana kutokana na urasimu ulioko sehemu mbalimbali serikalini hasa kwenye idara zake suala la kushughulikiwa haraka ndani ya muda mfupi utaambiwa njoo baada ya siku kadhaa au utapigiwa simu kujulishwa na wakati mwingine utaambiwa anayeshughulikia hayupo yupo nje ya ofisi kikazi ajabu sana utafikiri mtu anatembea na ofisi. Ukibahatika kufanya Biashara na Serikali kimbembe kwenye malipo utawekwa foleni mpaka ujute kama ulikopa bank lazıma wakuuzie dhamana yaka yani hakuna uhakika wa malipo yako na lazıma ucheleweshwe taka usitake. Hapo kwa wawekezaji ni hadithi tu kwa urasimu uliopo
 
Walikimbilia Kenya sababu nchi ilikuwa na Raisi. Kwa sasa wanarudi maana nchi ipo kama haina raisi ni hela yako tu unajifanyia utakavyo watchdogs wengi ni wala rushwa tu.

Hamna restrictions ni sawa na beseni la mikate limetupwa kwa wanafunzi wa form 4 ni mwendo wa kupiga scramble tu.
Nimelia sana baada ya kusoma hapa umenikumbusha yule mzee namna alikuwa anapambania hili taifa ila watu na dharau zao wakachukulia poa efforts zake.
 
Maneno mazuri kuntu kuvutia wafanyibiashara sasa na mimi nishauri serikali chini ya utawaha wa mhe Mama Samia.

Jitahidini kwa kila mbinu kuto wa frustrate wafanyibiashara kodi ni muhimu kwa maendeleo ila kuna kodi na faini hazina mashiko wawekezaji na wafanyi biashara watakimbia
 
Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.

Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.

Mama ni nguli wa uchumi
Hatuendelei kwasababu ya unafiki kila kitu samia. Chura kiziwi haeleweki KABISA
 
Back
Top Bottom