DOKEZO Wafanyabiashara Kariakoo kugoma Mei 15, 2023

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Stoo za kariakoo ziwe Tunduma !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Stoo za kariakoo ziwe Tunduma !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
wanasema ni branch, na kule tunduma wanachukua kwa bei ile ile ya kariakoo. mkinga ana duka kariakoo na tawi la bei ile ile ya juma kaweka tunduma. kwa hiyo mkigoma yeye biashara inaendelea na wateja wengi wanaotoa pesa ndefu ni wazambia na wacongo wanafunga mzigo. sasa ndugu zangu wachagga wa kariakoo msiingie mkenge, ninyi ndio mtafilisika kwasababu biashara zenu zitasimama.
 
Lisit??

Hii ndio jf
 
Hii ya pili na ya tatu naunga mkono yaendelee kufanywa cause wafanyabiashara wetu si waaminifu. Under rate imekuwa kubwa na hizo store zinatumika kama vichochoro vya kukwepa kodi. Mtu anaweka mzigo kwenye store tofauti Ili kuwadanganya TRA. Hiyo ya bandarini tu ndio kuna hoja upande wa wafanyabiashara.
 
Serikali ya ccm tangu imekaa madarakani ni miaka ya mtumishi wa serikali kustafu, lakini hadi Leo hii bado Tanzania inaagiza mahindi, ngano, Michele na sukari kutoka nje ya nchi pamoja na ardhi yenye rutba nyingi tena ni kubwa kuliko hata mahitaji yetu, lakini walishindwa kuendeleza pale alipo ishia mkoloni kwenye swala la maendeleo hasa upande wa kilimo, walicho chukua wao ni wizi tuu hamna kingine,

Natamani siku moja wakiwa kwenye mkutano wao pale dodoma atokee alshababu ajilipue, awaue wote washenzi wale
 
sasa bro, wewe na we si mtanzania? hebu tuonyeshe shamba la ngano au la mahindi unalolima? sisi wananchi tunatakiwa kuchukua hatua kufanya kilimo biashara, sidhani kama serikali haijaweka mazingira rafiki ya kilimo. ukisafiri kwa basi unakutana na mapori kila sehemu yapo tu, hakuna watu wa kulima ila tunalaumu serikali kwamba inafanya watu waagize chakula nje? hizo akili au matope? wewe umefanya nini walau ili kutuhakikishia kuwa ukishika nchi utakuwa na pa kuanzia.
 
Yaaani...
Tumebaki kuwa maomba omba.
 
Mkuu heshima kwako.

Unadhan nin kifanyike?, Kumbuka serikali haina uwezo wa kufanya biashara wala kuendesha viwanda.
Solutions ipo! Tatizo wanaoweza kurekebisha hilo awapiti JF. Ningeweka hapa hiyo Solution
 
Hali vipi huko leo?
 
TRA ndio kikwazo kilubwa cha Biashara Tanzania waende Zambia au SA wakajifunze Nchi imekua ya rushwa kila siku wanafikiria kuwabana Wafanyabiashara hapo Zambia au SA utanunua kiasi chochote na utauza kiasi chochote hata kupeleka mzigo Lusaka hakuna presure yeyote kama kupeleka hiyo hiyo bidhaa Tanzania ni wezi sana ndio maana tuna uhaba wa bidhaa na bandari tunayo Wakongo wengi wamekimbia kisa kunyanyang'anywa mizigo yao na kuambiwa ishu ya risiti wakati Johannesburg wageni tunaoingia SARS inatulinda na tuendelee kununua tena Tanzania TRA ni kikwazo kwa wageni kushika mizigo yao wao hakuna wanachojua kwenye biashara zaidi ya kukwamishana tuu...ndio maana Wafanyabiashara wengi wamekimbilia Lusaka,Jhb na Lilongwe endeleeni na ujinga wenu huku mkikwamisha maendeleo ya Watanazania hapo Nairobi na Kampala nashangaa bidhaa za kumwaga kuliko daslm na sisi tuna bandari kubwa kuliko Kenya tuna matatizo sehemu sio bure...
 
TRA wanapigwa mapema na Kariakoo Dabi!! Utakuja niambia!!
Na mimi leo sifungui, na hatufungui tena hadi kieleweke, maana ni mgomo usio na kikomo 😂, wacha tuendelee kufanya biashara mtandaoni tu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…