MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #21
Lakini mkuu huwa unaziponda bidhaa za washindani wako hadharani na kuziita feki?Haya maneno nilishaambiwa kipindi ninaanza biashara.
Na nimeendelea kuambiwa zaidi ya mara elfu,
Biashara ni sayansi, yaani zama hizi watu wenye maduka makubwa wanatengeneza Apps za ku locate bidhaa zilipo na zimebaki kiasi gani ndani ya duka wewe unaendelea kusema mambo ya kiroho.
wacha mapambano yaendelee.