MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #41
Kwani tulikuwa wote jomba?Huyo Nifa ni nani huko Darisalama tena wazee mnatuacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tulikuwa wote jomba?Huyo Nifa ni nani huko Darisalama tena wazee mnatuacha
Hizi biashara za namna hii huwa zinakuja kuishia na madeni na kuchafuana. Nimeona sana hii kitu aiseee atakuja ishia kuitwa tapeli. Ipo siku.Uyo niffer sio wa kwanza kufanya biashara ya hivyo hata wakina faiza walianza hivyo siku nyingi tu na sasa hawasikiki na wapo wengine wengi tu wanaagizia watu bidhaa nje tena kwa bei nafuu mfano Haika yule dada wa businesseagle, chidd mapenz, kim china na wengineo wengi.
Shida ya niffer ni kutangaza bidhaa za wengine ni FAKE ilihali yeye mwenyewe anaenda nunua bidhaa hizo hizo anazoziita fake na kuziuza kwa bei yake.
Kuna mengi hapa watu hawajui wanahisi ni rahisi. Na yule binti alichokosea ni kutangaza labda kama kuna kigogo anamtomba hapo sawa.Hamna akili yoyote ya ziada aliyo nayo niffer kwenye biashara ya uagizaji zaidi ya makelele tuu ambayo yatamletea shida, watu wanalipa Kodi, OCs na tozo za kutosha kuendesha biashara hawezi kufanana na huyo niffer anaechukua vi order kadhaa wanaingiza kimagumashi kisha wanauza bila efd, ajitafakari
Nimegundua wapiga kelele hapa wengi ni mawinga k/koo kwaiyo wanamwonea wivu mtoto mdogo anawakosesha ugariKwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia kila biashara huku akivunja miiko mingi ya biashara hizo. Wanadai Niffer amekuwa akiharibu bei za soko kwa makusudi huku akiponda bidhaa za wafanyabiashara wengine.
Hili suala limekuwa na mitazamo mingi. Watu wengi wamesema Niffer yuko sahihi kwa sababu ni mbunifu na hakuna sheria anayovunja. Upande mwingine unadai sio vema Niffer kuanika bei zake ndogo hadharani kwa sababu zinawaharibia wenye maduka ambao wanalipa kodi nyingi sana. Binafsi baada ya kufuatilia hili sakata nimeona ni sahihi 100% Niffer kuendelea kuwapelekea moto hao wakongwe wasiotaka kubadilika. Pia yeye kuuza vitu kwa bei ya chini ni msaada kwa wananchi wengi. Niffer ni mjasiriamali kamili anayetatua changamoto za raia huku raia wakiweka pesa kwenye wallet ya Niffer.
Ukitoa wauza nguo kwa bei ya jumla hao wafanyabiashara wengine ni wapigaji kwa kuweka bei za juu kupitiliza. Nina ushahidi usiotia shaka. Kwa mfano raba za AirForce zinazouzwa 35 - 50k... ila kuziagiza hadi kukufikia haizidi 15k kila kitu. Sasa kuna sababu zipi za kuuza kwa bei mara 2 au 3? Wanyabiashara wakongwe jueni kabisa kutatokea kina "Niffer" wengi sana na sokoni kutachafuka mno. Mjiandae kisaikolojia.
Ninamshauri Niffer naye asifanye kosa la kuponda bidhaa za wenzake. Apromoti tu bidhaa zake bila kutamka shombo kuhusu wengine. Wafanyabiashara wakongwe wana mbinu nyingi safi na chafu kwahiyo awe makini asije akazimishwa. Ni HATARI. Pia yule boyfriend wa Niffer awekeze zaidi kwenye kukata viuno kitandani maana kwa hali ilivyo Niffer anaenda kuwa mkubwa zaidi na kuna mabaradhuli wenye hela hawawezi kuona mtoto mkali kama yule wakaacha apite hivihivi.
Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia kila biashara huku akivunja miiko mingi ya biashara hizo. Wanadai Niffer amekuwa akiharibu bei za soko kwa makusudi huku akiponda bidhaa za wafanyabiashara wengine.
Hili suala limekuwa na mitazamo mingi. Watu wengi wamesema Niffer yuko sahihi kwa sababu ni mbunifu na hakuna sheria anayovunja. Upande mwingine unadai sio vema Niffer kuanika bei zake ndogo hadharani kwa sababu zinawaharibia wenye maduka ambao wanalipa kodi nyingi sana. Binafsi baada ya kufuatilia hili sakata nimeona ni sahihi 100% Niffer kuendelea kuwapelekea moto hao wakongwe wasiotaka kubadilika. Pia yeye kuuza vitu kwa bei ya chini ni msaada kwa wananchi wengi. Niffer ni mjasiriamali kamili anayetatua changamoto za raia huku raia wakiweka pesa kwenye wallet ya Niffer.
Ukitoa wauza nguo kwa bei ya jumla hao wafanyabiashara wengine ni wapigaji kwa kuweka bei za juu kupitiliza. Nina ushahidi usiotia shaka. Kwa mfano raba za AirForce zinazouzwa 35 - 50k... ila kuziagiza hadi kukufikia haizidi 15k kila kitu. Sasa kuna sababu zipi za kuuza kwa bei mara 2 au 3? Wanyabiashara wakongwe jueni kabisa kutatokea kina "Niffer" wengi sana na sokoni kutachafuka mno. Mjiandae kisaikolojia.
Ninamshauri Niffer naye asifanye kosa la kuponda bidhaa za wenzake. Apromoti tu bidhaa zake bila kutamka shombo kuhusu wengine. Wafanyabiashara wakongwe wana mbinu nyingi safi na chafu kwahiyo awe makini asije akazimishwa. Ni HATARI. Pia yule boyfriend wa Niffer awekeze zaidi kwenye kukata viuno kitandani maana kwa hali ilivyo Niffer anaenda kuwa mkubwa zaidi na kuna mabaradhuli wenye hela hawawezi kuona mtoto mkali kama yule wakaacha apite hivihivi.
Wewe mpuuzi kuna sehemu nimesema ni OG?Kumbe na wewe hujui kitu, Nike Air Force OG upate kwa tshs 35,000? Hizo sio Air Force ni fake Air Force, so hata huyo binti sijui Niffer anauza bidhaa fake tupu as well.
Air Force OG huwezi pata chini ya $ 80 - $90, so hizo unaona Kkoo au Instagram za hapa Tz ni fake tupu..!! Wafanya biashara hapa Tz kuleta bidhaa OG ni ngumu sbb hakuna wanunuzi kwa bei za bidhaa OG, so wote hao wanauza copy or fake tupu..!!
Binti anakosea ila huenda akajirekebisha. Asichojua ni kuwa katika wanaomlaumu kuna ambao hadi kwenye upunda walishafanya kwahiyo suala la roho ngumu liko damun
Tatizo sio ugali tunamuonea huruma maisha yake watu wa kariakoo sio watu Kuna Hadi misukule pale inauza vitu madukani na kubeba, maduka kibao yamefikiwa watu chini so aje pole pole aulize walinzi wapale wanavyo viona usiku kkooo kwenye maduka .Nimegundua wapiga kelele hapa wengi ni mawinga k/koo kwaiyo wanamwonea wivu mtoto mdogo anawakosesha ugari
Hata nifa simjui, sijui ni tiktok sijui instagram.Kwani nyie wote mliochangia mada mnajishughulisha na nini?
Hatari 🤣🤣leo naona kanifikia mimi bidhaa flan flan hivi tag zikawa nyingi kwangu mara paaap nimelimwa tofali[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Imekiwaje akakublock!?leo naona kanifikia mimi bidhaa flan flan hivi tag zikawa nyingi kwangu mara paaap nimelimwa tofali[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyeweKwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia kila biashara huku akivunja miiko mingi ya biashara hizo. Wanadai Niffer amekuwa akiharibu bei za soko kwa makusudi huku akiponda bidhaa za wafanyabiashara wengine.
Hili suala limekuwa na mitazamo mingi. Watu wengi wamesema Niffer yuko sahihi kwa sababu ni mbunifu na hakuna sheria anayovunja. Upande mwingine unadai sio vema Niffer kuanika bei zake ndogo hadharani kwa sababu zinawaharibia wenye maduka ambao wanalipa kodi nyingi sana. Binafsi baada ya kufuatilia hili sakata nimeona ni sahihi 100% Niffer kuendelea kuwapelekea moto hao wakongwe wasiotaka kubadilika. Pia yeye kuuza vitu kwa bei ya chini ni msaada kwa wananchi wengi. Niffer ni mjasiriamali kamili anayetatua changamoto za raia huku raia wakiweka pesa kwenye wallet ya Niffer.
Ukitoa wauza nguo kwa bei ya jumla hao wafanyabiashara wengine ni wapigaji kwa kuweka bei za juu kupitiliza. Nina ushahidi usiotia shaka. Kwa mfano raba za AirForce zinazouzwa 35 - 50k... ila kuziagiza hadi kukufikia haizidi 15k kila kitu. Sasa kuna sababu zipi za kuuza kwa bei mara 2 au 3? Wanyabiashara wakongwe jueni kabisa kutatokea kina "Niffer" wengi sana na sokoni kutachafuka mno. Mjiandae kisaikolojia.
Ninamshauri Niffer naye asifanye kosa la kuponda bidhaa za wenzake. Apromoti tu bidhaa zake bila kutamka shombo kuhusu wengine. Wafanyabiashara wakongwe wana mbinu nyingi safi na chafu kwahiyo awe makini asije akazimishwa. Ni HATARI. Pia yule boyfriend wa Niffer awekeze zaidi kwenye kukata viuno kitandani maana kwa hali ilivyo Niffer anaenda kuwa mkubwa zaidi na kuna mabaradhuli wenye hela hawawezi kuona mtoto mkali kama yule wakaacha apite hivihivi.
uko sahihi....biashara ni vita.....kila mmoja apambane....dunia inaji "update" kila uchwao.....hakuna kukariri tena...Biashara ni vita kila mtu apambane na yake sioni kosa la Niffer kabisa kwanza amesaidia maana wengi huweki bei za ajabu,huyo Rest kafanya biashara ngapi au ana biashara ngapi?? Mnataka mtu afanye biashara mnavyotaka nyie Khaa!
Niffer aachwe aisee auze kila kitu tutamsapoti tu Ndio ashakuwa mwamposa wa kike
Kuna dada mmoja alikuwa maarufu pale Mwananyamala, sasa hivi kakimbia, chezea madeni wewe. Alikuwa anaagiza bidhaa za watu. Ameacha watu wanadaiwa kibao. Yaani ni chain za madeniHizi biashara za namna hii huwa zinakuja kuishia na madeni na kuchafuana. Nimeona sana hii kitu aiseee atakuja ishia kuitwa tapeli. Ipo siku.
Kuna m'moja jina nimelisahau. Alikuwa anafanya hizi hizi biashara za kuagizia watu bidhaa nje kwa bei nafuu. Yeye alikuwa anawachukulia vyombo vya ndani.Kuna dada mmoja alikuwa maarufu pale Mwananyamala, sasa hivi kakimbia, chezea madeni wewe. Alikuwa anaagiza bidhaa za watu. Ameacha watu wanadaiwa kibao. Yaani ni chain za madeni