Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

Lakini mkuu huwa unaziponda bidhaa za washindani wako hadharani na kuziita feki?
 
Wengi wanapiga kelele tu naona humu
Simjui kabisa huyo mdada ila anavyo wapelekesha sio kwa povu hili
Kila mmoja ana mbinu zake na sasa mitandaoni ndio kabisa
Mbona tunaona eBay, Amazon bei tofauti ila bidhaa ile ile
 
Lakini mkuu huwa unaziponda bidhaa za washindani wako hadharani na kuziita feki?
Hapana.

Hilo sio sahihi, ndio maana kwenye matangazo ya makampuni makubwa huwezi kusikia kwamba tumia bidhaa ya pepsi usitumie cocacola.

hupaswi kuponda bidhaa za wenzako, unapaswa kutoa sababu kwann bidhaa yako ni bora bila ya kutaja majina ya bidhaa za wenzako.

Hapa Dada Niffer anafeli, na kwenye biashara kuna figisu nyingi sana, halafu yeye ni mtoto wakike.

Watu wakiona wamekushindwa kwenye biashara kwa mbinu watamtafuta hata waharibu reputation yake. Na hapo ndio kifo kinapotokea
 
huyo binti ni mshenzi tu, Biashara ina nidhamu zake nayeye ametoka kwenye mstari wa nidhamu. kushusha bei bidhaa hakujawahi kuwa njia sahihi ya ushindani wa biashara bali ni kuharibu biashara.
 
Binti anakosea ila huenda akajirekebisha. Asichojua ni kuwa katika wanaomlaumu kuna ambao hadi kwenye upunda walishafanya kwahiyo suala la roho ngumu liko damuni.
 
We kiazi Sana
 
Hizo rubber za airforce tunanunua huku euros 130 kwa pair laki nne za bongo. Kweli thed weld dwellers, the 99% na hand to mouth mna raha sana.

Ndo maana adriz mshamba_hachekwi kajekudya na nguvu wanazo nyingi wamezipanga tu kwenye shelves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…