Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

Niffer ndio.nani?!
 
Yaani ndugu hili tatizo la watu kuingia tamaa na kuanza kutumia pesa za wateja kwenye mambo mengine imeshakuwa Sugu. Niffer pia ana hizo kesi za wateja kutopata vitu vyao. Ishu yake kwa sasa ni nzito.... tumuombee binti hili sakata liishe.
 
Naona raia mnataka kupita na mtoto wa watu hamtaki mazoea kabisa. View attachment 2993070
Mtoto ana kipaji maalum cha biashara ila kuna makosa kidogo ya kiufundi kayafanya. Ila kwa umri wake anaweza akajipanga akarudi upya kwenye game. Ishu yake kubwa ni yeye na TRA. Ingekuwa ni kati ya yeye na wateja ndo ingekuwa ngumu kuwa na matumaini ya kurudi kivingine.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 countless times
kuna moja ilikuwa hot, alipost tangazo la dawa ya UTI uku kavaa taulo, mapaja yapo nje
Nilichapa nayo sana ile clip
Hongera sana. Yule binti ni mzuri sana.. shepu yake inaweza kumfanya hata shetani akakiri Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…