Waambie hao mama zako na wajomba zako wanaotegemea pesa za wasafiri warudi kijijini wakalime, Nyie wamachinga mkidekezwa mtawapanda watu vichwani kabisa kwa hoja za kipuuzi eti mikono yenu iende kinywani , kuna wakati mlikuwa mnalazimisha kufanya biashara zenu hadi barabarani kwa hoja hizo hizo za kipuuzi bila kujali wengine nao wana haki ya kuzitumia hizo barabara.Lakini pia ni nzuri wao kuuza pipi, vituo kama hivyo vilistahili kuwa fursa kwa vijana na mama zetu kujipatia kipato. Kama una kazi maalum usione wanaolalamikia hili kama wakosefu, iliwasaidia mkono kwenda kinywani
Stendi ni kituo cha mabus na si check point. Sasa kuhitaji kwako unafuu wa kupata abiria kusiharibu utaratibu, boda apite nyumba hd nyumba kusaka abiria. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa matakwa ya mtu
🤣 🤣 🤣Huyo mzee anayeitwa Andondile Mwambela mwenye bichwa kama bumunda anayezungumza pumba kwa majidai na kilevi atakuwa ametokea wapi zaidi ya Tukuyu mkuu?!
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa matakwa ya mmiliki wa bus. Fuateni utaratibu uliopo mpaka pale ombi lenu litakapokubaliwa kwa kuona labda lina tija na si vinginevyo eti mnatishia kugoma. Au kisa tren mnahisi litawaibia abiria hivyo mmeamua kuwafuata hadi kwao.Wanakera aisee. Hasa wakishakua kwenye mashangingi yao Yani.
Mbona ndege inatoka marekani mpaka dar na unashukia hapo wakati kwenu mwanza au hapo pwani.
Hawaelewi KabisaWanakera aisee. Hasa wakishakua kwenye mashangingi yao Yani.
Sipo na hao wafanya biashara aisee. Najua mateso ya daladala za dar aisee.Nchi haiwezi kuendeshwa kwa matakwa ya mmiliki wa bus. Fuateni utaratibu uliopo mpaka pale ombi lenu litakapokubaliwa kwa kuona labda lina tija na si vinginevyo eti mnatishia kugoma. Au kisa tren mnahisi litawaibia abiria hivyo mmeamua kuwafuata hadi kwao.
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa matakwa ya mmiliki wa bus. Fuateni utaratibu uliopo mpaka pale ombi lenu litakapokubaliwa kwa kuona labda lina tija na si vinginevyo eti mnatishia kugoma. Au kisa tren mnahisi litawaibia abiria hivyo mmeamua kuwafuata hadi kwao.
Unafuu ndo kama huo kuwekewa stendi, hii ya kushusha kila mahali ni kugeuza tz kuwa na utitiri wa vituo visivyo rasmi.Ninyi ndio hampaswi kupewa nchi
Serikali kazi yake ni kuleta unafuu kwa WANANCHI.
Utaratibu unawekwa na sisi sisi Watu.
Ndio tumeamua kuweka utaratibu kuwa magari lazima yaingie Mbezi lakini yanayokea chalinze
Vituo sio rasmi wakati vinalipa kodi?Unafuu ndo kama huo kuwekewa stendi, hii ya kushusha kila mahali ni kugeuza tz kuwa na utitiri wa vituo visivyo rasmi.
Sasa km serikali haioni shida, shida iko wapi hd mnatishia kugoma?Abiria halalamiki
Wamiliki hawalalamiki
Serikali haioni shida
Ninyi mnaoona shida ni kina nani kwenye hiyo sekta ya usafiri?
🤣 🤣 🤣Kwani lazima upande Abood kwenda Moro au ni masharti ya mganga wako??
Vinalipa ushuru wa ofisi na si wa kushusha na kupakia abiriaVituo sio rasmi wakati vinalipa kodi?
Abiria mamilioni ndio tunataka hivyo sio wamiliki wa mabasi wamiliki wa mabasi wanatusikiliza sisi abiriaNchi haiwezi kuendeshwa kwa matakwa ya mmiliki wa bus.
Kwa hyo ukiwa haupo kwenye bus huwa unafanyaje? Tupaze sauti magari ya mwenfokasi yawe mengi na si kuharibu taratibu za vituo vya busSipo na hao wafanya biashara aisee. Najua mateso ya daladala za dar aisee.
Asante uko sahihiAbiria halalamiki
Wamiliki hawalalamiki
Serikali haioni shida
Ninyi mnaoona shida ni kina nani kwenye hiyo sekta ya usafiri?
KabisaMimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Hakuna abiria aliyeibua hayo ni nyie wamiliki. Abiria akishajua utaratibu ni huu yeye atafuata ndo maana sijaskia abiria akisema nitagoma kutumia bus ila wamiliki ndo wanasema watagoma.Abiria mamilioni ndio tunataka hivyo sio wamiliki wa mabasi wamiliki wa mabasi wanatusikiliza sisi abiria
Pambana na sisi abiria sisi tunataka kupanda maeneo jirani na tunakoishi
Achana na wamiliki pambana na sisi abiria
Vinalipa ushuru wa ofisi na si wa kushusha na kupakia abiria