Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nilisafiri kuja kujaA form pale jiji City centre na kitambulisho cha Machinga nikapata lakini wapi.Halafu vilikuwa vinatolewa kwa kujuana na majina na connection
Sasa kama ni huduma kwanini wafanyabiashara walalamike kukosa wateja?Kama kuna watu kunahitajika huduma muhimu, kama maji,soda na tissue paper. Huwezi kuwa na stand ukose huduma kwa wasafiri. Yani wajenge majengo ya abiria, waache kujenga vyoo, na wasiweke maeneo ya kutupa taka, au vinywaji baridi.
Zinapoitwa huduma haimaanishi ni bure, wanaozitoa wanaingiza kipato na kuendesha maisha yao, hivyo ni wajibu wao kulalamika.Sasa kama ni huduma kwanini wafanyabiashara walalamike kukosa wateja?
Safi kabsa Kila abiria afuatwe nyumbani kwake.Mimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Kama wapewa huduma hawahutaji kwanini wao watoe inamaana mtoa huduma ambayo abiria hawaihitaji harafu mnalaumu kukosa watejaZinapoitwa huduma haimaanishi ni bure, wanaozitoa wanaingiza kipato na kuendesha maisha yao, hivyo ni wajibu wao kulalamika.
Labda hukuelewa. Stand ni ya bus na abiria, lakini baadhi ya wenye ma bus wanapakia abiria nje na kushusha abiria nje ya stand, hiyo siyo sawa. Washushe abiria ndani na wapakie abiria ndani ya stand.Kama wapewa huduma hawahutaji kwanini wao watoe inamaana mtoa huduma ambayo abiria hawaihitaji harafu mnalaumu kukosa wateja
Yani mtu ametoka Kilimanjaro kupitia Bagamoyo Road na kwake ni Bunju aletwe mpaka Mbezi stendi ili tu anunue karanga zako au akojoe tu kwenye choo cha stendi halafu aanze kuhangaika tena mizigo yake kurudi Bunju, hizo zitakuwa akili au matope.Utaratibu ni ustaarabu, wafuate utaratibu ma bus yote yapakie na kushusha abiria ndani ya stand ya ma bus na siyo vinginevyo.
Mbona ndege huwa hamuombi mshushwe kwenu mnakubali kwenda airport? Utaratibu wa vituo ni muhimu sana, mkifanya shaghala baghala msilalamikie mfumo na utaratibu wa serikali.Yani mtu ametoa Kilimanjaro kupitia Bagamoyo Road na kwake ni Bunju aletwe mpaka Mbezi stendi ili tu anunue karanga zako au akojoe tu kwenye choo cha stendi halafu aanze kuhangaika tena mizigo yake kurudi Bunju, hizo zitakuwa akili au matope.
Ondoeni porojo zenu hapa, mapata gani serikali inakosa wakati bus zote zinapitia hiyo stendi na zinalipa ushuru. Nyie wachache mmekosa tu wateja wa pipi na karanga zenu na mia mbili za kubeba mizigo sasa mnataka kusumbua wateja walio wengi wanaosafiri ili tu mgange njaa zenu.Labda hukuelewa. Stand ni ya bus na abiria, lakini baadhi ya wenye ma bus wanapakia abiria nje na kushusha abiria nje ya stand, hiyo siyo sawa. Washushe abiria ndani na wapakie abiria ndani ya stand.
Tusifanye mambo shaghalabaghala kwa kigezo cha kuwakimbia wafanya biashara. Wanapokuwa hawatumii stand hata serikali inakosa mapato.
Swala la abiria kupata mahitaji yao ndani ya stand siyo lazima lakini ikitokea anahitaji huduma hiyo ndani ya stand, iwepo, na ipo. Sio kwamba wafanya biashara wanalazimisha abiria kutumia huduma zao, hapana.
Habiria halazimishwi kutumia choo cha kulipia kama hahitaji huduma ya choo, halazimishwi kununua maji kama hayahitaji. Ilia ikiwa atahitaji zitakuwepo na atalipia, na itakuwa fursa kwa wenye biashara hizo.
Sijui kama umeelewa?
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Umewahi kumuona mtu anashuka kwenye ndege halafu anaenda kugombania daladala? Umewahi kumuona mtu kwenye ndege anagombana na kondakta kisa buku?Mbona ndege huwa hamuombi mshushwe kwenu mnakubali kwenda airport? Utaratibu wa vituo ni muhimu sana, mkifanya shaghala baghala msilalamikie mfumo na utaratibu wa serikali.
Sasa Stand ya bus ya nini kama unaweza panda na kushuka popote?
ShukranOndoeni porojo zenu hapa, mapata gani serikali inakosa wakati bus zote zinapitia hiyo stendi na zinalipa ushuru. Nyie wachache mmekosa tu wateja wa pipi na karanga zenu na mia mbili za kubeba mizigo sasa mnataka kusumbua wateja walio wengi wanaosafiri ili tu mgange njaa zenu.
Naona hisia na mihemko tu hakuna hoja ya msingi ya kupinga mabas kupakia popote
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Mimi ni mmoja wapo, huwa nikishuka natembea mpaka kituo cha banana, na panda Daladala kwenda nyumbani.Umewahi kumuona mtu anashuka kwenye ndege halafu anaenda kugombania daladala? Umewahi kumuona mtu kwenye ndege anagombana na kondakta kisa buku?
Kwa hiyo na wenye lodge sasa nao waanze kulalamika bus kuruhusiwa kusafiri usiku imeharibu biashara na hizo blah blah nyingine ooh serikali sijui inakosa mapato??Zinapoitwa huduma haimaanishi ni bure, wanaozitoa wanaingiza kipato na kuendesha maisha yao, hivyo ni wajibu wao kulalamika.
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau
Acha kukariri ujinga, Dar es Salaam nzima ya watu zaidi ya milioni tano haiwezi kuwa na kituo kimoja tu cha bus za mikoani. Mtu ametoka Lindi na anaishi Mbagala aje kushushiwa Mbezi! Huo utakuwa ujinga wa karneLabda hukuelewa. Stand ni ya bus na abiria, lakini baadhi ya wenye ma bus wanapakia abiria nje na kushusha abiria nje ya stand, hiyo siyo sawa. Washushe abiria ndani na wapakie abiria ndani ya stand.
Mabasi hayakwepi stendi ya Mkoa, mabasi karibia yote huwa lazima yanapita hapo kuchukua au kushusha abira, hao vilaza walioshindwa kufikria njia nyingine za kuishi zaidi ya kuchuuza bidha stand wanachotaka ni kwamba mabasi yote ya Dar yaanzie na kuishia hapo stendi tu.kurasa zote nimesoma sijaona aliyeongelea sababu za mabasi kukwepa stendi ya mkoa