Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Ukianza kusgusha hapo shekilango si boda na hiace nazo zinaanza kutega hapo hapo kula vichwa ulivyoshusha?
Kuna pikipiki na tax. Zile si stand ni ofisi za basi husika na pana utulivu. Hilo unalotaka wewe la kujazana watu wote stand linafaa mikoa isiyo na watu wengi sio dar. Unaongelea watu 6M wakazi halafu kila siku wageni wanaingia na kutoka wengi. Unataka wote waje sehemu moja?
 
Tatizo ni ushamba na kufanya mambo kwa sifa bila uhalisia. Darhaihitaji stand moja kubwa, bali inahitaji stand nyingi ndogo ndogo.
Huo ujenzi ulikuwa ni ufisadi tu.
Inashangaza stendi ya mabus kubebea abiria mghorofa wote ule wa nini
Muundo kama ule wa stendi ya pembeni eneo liwe kubwa kuwezesha mabus mengi kwa wakati mmoja huduma kama choo ziwepo full stop
 
Kuna pikipiki na tax. Zile si stand ni ofisi za basi husika na pana utulivu. Hilo unalotaka wewe la kujazana watu wote stand linafaa mikoa isiyo na watu wengi sio dar. Unaongelea watu 6M wakazi halafu kila siku wageni wanaingia na kutoka wengi. Unataka wote waje sehemu moja?
Pengine hamjui maana ya ofisi ndo maana mnageuza ofisi kama sehemu ya stendi. Ofisini kwako ni sehemu ya abiria kupata tiketi, kutuma au kupokea mzigo uliotumwa.
 
Ndiyo linahtaji stendi moja yenye uwezo wa kuhudumia bus 200. Mkiwekewa stendi nyingi mtaanza pia kulalamika, nifike stebndi ya kwanza ushuru, ya pili ushuru na ya 3 ushuru wakati zote nazifikia ndani ya nusu saa.
Mbona kila wilaya mikoani kuna ushuru WA stendi na wenye mabasi hawalalamiki

Dar Kwa nini isiwe hivyo kama shida yenu kukwapulia Abiria na wenye mabasi pesa? Ndio maana tunataka kila wilaya basi liondokee hapo

Mikoani mbona mabasi kibao yanaanzia wilayani kwenda mikoa mongine ? Unakuta basi linaanzia wilaya ya Kilombero hadi Dar au linaanzia wilaya ya mbinga mkoa WA Ruvuma hadi Dar au basi linaanzia wilaya ya Lushoto hadi Dar au wilaya ya Machame hadi Dar

What is so special Kwa Dar es salaam kama sio ujinga WA viongozi WA Dar es salaam

Dar kuna shinda gani? Yasianzie kupakia na kushusha huko mawilayani ?

Dar ina viongozi WA serikali wajinga sana
 
Pengine hamjui maana ya ofisi ndo maana mnageuza ofisi kama sehemu ya stendi. Ofisini kwako ni sehemu ya abiria kupata tiketi, kutuma au kupokea mzigo uliotumwa.
Ikiwa stendi utaumwa malaria au? Scandinavia alikuwa na stendi na ofisi yenye hadhi ya kimataifa kama uwanja WA ndege pale kariakoo na Abiria walifurahi mno

Wewe lofa ofisi ya basi ikiwa stendi pia na hakuna malalamiko ya Abiria au wenye mabasi utaumwa Corona au?
 
Pengine hamjui maana ya ofisi ndo maana mnageuza ofisi kama sehemu ya stendi. Ofisini kwako ni sehemu ya abiria kupata tiketi, kutuma au kupokea mzigo uliotumwa.
Kwamba nina safari saa tatu usiku kwenda Arusha, nina mzigo, niende shekilango kukata tiketi na kupeleka mzigo kisha nitafute usafiri wa kwenda mbezi kupanda basi ambalo litapakia mzigo wangu nilipokatia tiketi? Ndo unachomaanisha?
 
Mbona kila wilaya mikoani kuna ushuru WA stendi na wenye mabasi hawalalamiki

Dar Kwa nini isiwr hivyo kama shida yenu kukwapulia Abiria na wenye mabasi pesa? Ndio maana tunataka kila wilaya basi liondokee hapo

Mikoani mbona mabasi kibao yanaanzia wilayani kwenda mikoa mongine ? Unakuta basi linaanzia wilaya ya Kilombero hadi Dar au linaanzia wilaya ya mbinga mkoa WA Ruvuma hadi Dar au basi linaanzia wilaya ya Lushoto hadi Dar au wilaya ya Machame hadi Dar

What is so special Kwa Dar es salaam kama sio ujinga WA viongozi WA Dar es salaam

Dar kuna shinda gani? Yasianzie kupakia na kushusha huko mawilayani ?

Dar ina viongozi WA serikali wajinga sana
Kieneo cha dar ni kidogo sana. Ni ngumu mtu kutoka ulanga akapandie moro (ulanga to moro ni kama safari ya mkoa hd mkoa ndo maana tunahitaji stendi ulanga). Sasa dar eneo dogo kila sehemu panafikika within 1 hour then unahutaji stend ya nn?
 
Mikoa mingine ni mikubwa wewe. Unataka tabora iwe na stendi moja wakati ukubwa wa eneo ubakuhitaji kutumia masaa 6 hadi 12 kufikia wilaya zingine. Dar unahtaji nusu saa au dakka 10 kufika wilaya nyingine

Hiyo nusu saa umeihesabu kutokea wapi?

Mtu atoke Twangoma mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa?

Mtu atoke Mabwepande mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa. Vipi chanika?

Hoja zenu hazina mashiko kwa sababu hazingatii ukweli.

Utaratibu uendelee kama ulivyo.

Juzi nilikuwa natoka Bukoba, nimeingia saa 10 usiku. Yaani mizigo kibao alafu nishuke Mbezi wakati Basi Limerahisisha huduma.

Lengo la serikali ni kurahisisha huduma kwa wananchi na serikali kujipatia kipato.

Ungesema mfumo uliopo unaukosesha serikali mapato au kuwapa ugumu wananchi ungekuwa na hoja.
Lakini sivyo
 
Yaani mwananchi asumbuliwe kisa kushukia stendi magufuli yaani Jiji lilivyokubwa mtu anakuja na mawazo hayo!? Kwani hapo ni soko au stendi ya bus na abiria kwenda makwao, hao wafanyabiashara waende kunako masoko na sio stand

Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.

Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa mabasi angeivimbia serikali namna hiii?

Halafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa maslahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayohitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .

Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John Pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Ni
 
Mikoa mingine ni mikubwa wewe. Unataka tabora iwe na stendi moja wakati ukubwa wa eneo ubakuhitaji kutumia masaa 6 hadi 12 kufikia wilaya zingine. Dar unahtaji nusu saa au dakka 10 kufika wilaya nyingine
Ujinga mzigo hao wote wanaenda direction moja ? MTU anaenda na kutoka mikoa ya kusini upande WA Temeke ,mwingine anaenda na kushuka mikoa ya kaskazini kupitia upande Kinondoni ,mwingine ananaenda mikoa ya nyanda za juu ,kati na ziwa na wote hao huishi wilaya zote kwa nini mabasi yanayoenda kote huko yasipite kubeba abiria kote kama ambavyo baadhi ya wenye mabasi wanafanya sasa hivi kuwa na vituo private vya kubeba na kushusha abiria huko waishiko kuwarahizishia Abiria maisha bila kuwaongezea nauli abiria

Wenye mabasi wanafanya kazi nzuri sana ila Kuna viafisa.serikali ambavyo havijawahi fanya biashara hata ya kuuza fungu la nyanya vinataka kuleta za kuleta
 
Hiyo nusu saa umeihesabu kutokea wapi?

Mtu atoke Twangoma mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa?

Mtu atoke Mabwepande mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa. Vipi chanika?

Hoja zenu hazina mashiko kwa sababu hazingatii ukweli.

Utaratibu uendelee kama ulivyo.

Juzi nilikuwa natoka Bukoba, nimeingia saa 10 usiku. Yaani mizigo kibao alafu nishuke Mbezi wakati Basi Limerahisisha huduma.

Lengo la serikali ni kurahisisha huduma kwa wananchi na serikali kujipatia kipato.

Ungesema mfumo uliopo unaukosesha serikali mapato au kuwapa ugumu wananchi ungekuwa na hoja.
Lakini sivyo
Jamaa anataka ukiwa na mizigo yako ushuke mbezi ili ununue mkate halafu ukodi usafiri wa kubeba mizigo yako kwa bei sawa na uliyokatia tiketi ya kukufikisha DSM ili ufikishwe nyumbani stand ichangamke.
 
Mkuu,
Kwanza kulikuwa na mpango wa kupiga Rami kutoka Bunju B hadi Msakuzi na kufika Mbezi Magufuli....

Pili kulikuwa na mpango wa stendi ya Njia za kusini kujengwa Mbagala....yani Dar kuwa na stendi kubwa mbili kama ilivyo Mwanza.

Ila hapa suala ni kwanini Mabasi yanaenda kupandishia watu Shekilango na vituo vya ndani....

Kuna barabara za ndani Mabasi hayaruhusiwi kupita....Mabasi yanafika mwenge kutafuta nini?
Mkuu kule ni ofisini kwao, sio stendi kule, unachanganya mambo.
 
Hiyo nusu saa umeihesabu kutokea wapi?

Mtu atoke Twangoma mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa?

Mtu atoke Mabwepande mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa. Vipi chanika?

Hoja zenu hazina mashiko kwa sababu hazingatii ukweli.

Utaratibu uendelee kama ulivyo.

Juzi nilikuwa natoka Bukoba, nimeingia saa 10 usiku. Yaani mizigo kibao alafu nishuke Mbezi wakati Basi Limerahisisha huduma.

Lengo la serikali ni kurahisisha huduma kwa wananchi na serikali kujipatia kipato.

Ungesema mfumo uliopo unaukosesha serikali mapato au kuwapa ugumu wananchi ungekuwa na hoja.
Lakini sivyo
Nahesabu kuanzia center ya wilaya ilipo. Umbali hatuchukulii huko nanjilinji, huwa unachukuliwa kutoka center ya eneo husiki. Ukisikia Dar to mwanza ni km 1200 hawachukui umbali wa bango la umeingia mwanza na bango la umeingia mkoa wa dar.
 
Ujinga mzigo hao wote wanaenda direction moja ? MTU anaenda na kutoka mikoa ya kusini upande WA Temeke ,mwingine anaenda na kushuka mikoa ya kaskazini kupitia upande Kinondoni ,mwingine ananaenda mikoa ya nyanda za juu ,kati na ziwa na wote hao huishi wilaya zote kwa nini mabasi yanayoenda kote huko yasipite kubeba abiria kote kama ambavyo baadhi ya wenye mabasi wanafanya sasa hivi kuwa na vituo private vya kubeba na kushusha abiria huko waishiko kuwarahizishia Abiria maisha bila kuwaongezea nauli abiria

Wenye mabasi wanafanya kazi nzuri sana ila Kuna viafisa.serikali ambavyo havijawahi fanya biashara hata ya kuuza fungu la nyanya vinataka kuleta za kuleta
Wa bus walishajiongezea ndo maana wana hamu ya kukufikisha unapotaka. Wese hata likishuka bei hutowasikia wakiomba nauli kushushwa. Hapo wanawaondolea kulalamika kuwa nauli za bus ni kubwa kisa wanakufikisha kitaani kwako.
 
Back
Top Bottom