Wafanyabiashara wa Geita walalamikia kodi za TRA

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi.

Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi?

Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote salama.

Hivi:

Sheria hizi dhidi yetu ni hizo hizo dhidi yenu?

Sheria hizi dhidi ya magari yetu ni hizo hizo dhidi ya magari yenu?

Hospitali tunazotibiwa sisi ni hizo hizo mnazotibiwa nyie?

Juzi treni ya serikali imepata ajali, vipi lingekuwa basi la mtu binafsi?

Ama kwa hakika, 'mpendeni mchukieni, Lissu alikuwa na hoja."

Huu ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
View attachment 1667517

IMG-20210104-WA0155.jpg
 
Inatakiwa kodi izidishwe mara 10 ya iliopo sasa hivi, na TRA wanatakiwa wakusanye Trillion 6 badala ya Trillioni 2 kwa kila mwezi. Trafic Police na DPP wanatakiwa wakusanye Trillioni 1 kila mwezi. Mgambo wa Miji wanatakiwa wakusanye Billioni 800 kila mwezi kwa fine za kupaki magari vibaya.

Ili watanzania akili zitukae sawa. Ili siku nyingine watu wakiitisha "MAANDAMANO YA AMANI KUDAI KATIBA MPYA" na "UHURU WA KUJIELEZA" waelewe kinacho maanishwa na wito upokelewe vizuri.
 
Inatakiwa kodi izidishwe mara 10 ya iliopo, na TRA wanatakiwa wakusanye Trillion 6 badala ya Trillioni 2.

Ili watanzania akili zitukae sawa.
Kabisa maana nchi inahitaji kodi
Ili ifanye miradi yake ya maendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@tra ongezeni kodi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Naam mkuu, swadakta kabisa, naunga mkono hoja, ikiwezekana kosa moja lipigwe fine hata mara 6. Zianzishwe fine hata za "KUTEMBEA NA NGUO AMBAYO HAIJAPIGWA PASI/IMEJIKUNJA" au "KUTEMBEA BILA KUCHANA NYWELE (Wenye vipara nao wawekwe kundi hili, ukikutwa na kipara unagongwa fine)". . .

Tutaelewana tu, mamaqeee.
 
Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi.

Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi?

View attachment 1667517

Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote salama.

Hivi:

Sheria hizi dhidi yetu ni hizo hizo dhidi yenu?

Sheria hizi dhidi ya magari yetu ni hizo hizo dhidi ya magari yenu?

Hospitali tunazotibiwa sisi ni hizo hizo mnazotibiwa nyie?

Juzi treni ya serikali imepata ajali, vipi lingekuwa basi la mtu binafsi?

Ama kwa hakika, 'mpendeni mchukieni, Lissu alikuwa na hoja."

Huu ndiyo ulio ukweli mchungu.
Tanzania Robberies Authority
 
Hakuna aliesalama,hakuna mwenye furaha.Kwanini Bara wasijifunze walau kwa Hussein Mwinyi Zbar?? Suluhu pia ni TRA focus indirect taxes viwandani,mipakani,bandarini.
 
Back
Top Bottom