Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi.
Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi?
View attachment 1667517
Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote salama.
Hivi:
Sheria hizi dhidi yetu ni hizo hizo dhidi yenu?
Sheria hizi dhidi ya magari yetu ni hizo hizo dhidi ya magari yenu?
Hospitali tunazotibiwa sisi ni hizo hizo mnazotibiwa nyie?
Juzi treni ya serikali imepata ajali, vipi lingekuwa basi la mtu binafsi?
Ama kwa hakika, 'mpendeni mchukieni, Lissu alikuwa na hoja."
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu.
Kwani Uzalendo wao umeenda wapi leo.Hiyo inaitwa na bado.
Kabisa maana nchi inahitaji kodiInatakiwa kodi izidishwe mara 10 ya iliopo, na TRA wanatakiwa wakusanye Trillion 6 badala ya Trillioni 2.
Ili watanzania akili zitukae sawa.
Naam mkuu, swadakta kabisa, naunga mkono hoja, ikiwezekana kosa moja lipigwe fine hata mara 6. Zianzishwe fine hata za "KUTEMBEA NA NGUO AMBAYO HAIJAPIGWA PASI/IMEJIKUNJA" au "KUTEMBEA BILA KUCHANA NYWELE (Wenye vipara nao wawekwe kundi hili, ukikutwa na kipara unagongwa fine)". . .Kabisa maana nchi inahitaji kodi
Ili ifanye miradi yake ya maendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@tra ongezeni kodi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwani kinyozi kazini, ukijigusagusa sikio laweza ondoka.Watulie hivyo hivyo.
Tanzania Robberies AuthorityMabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi.
Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi?
View attachment 1667517
Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote salama.
Hivi:
Sheria hizi dhidi yetu ni hizo hizo dhidi yenu?
Sheria hizi dhidi ya magari yetu ni hizo hizo dhidi ya magari yenu?
Hospitali tunazotibiwa sisi ni hizo hizo mnazotibiwa nyie?
Juzi treni ya serikali imepata ajali, vipi lingekuwa basi la mtu binafsi?
Ama kwa hakika, 'mpendeni mchukieni, Lissu alikuwa na hoja."
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu.
Kila upande Una shida , serikali ina shida na wafanya biashara sio wakweli
KweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiBiashara zinapofungwa acha tusubirie makusanyo ya January!
Au nasema uongo ndugu yangu?
Katoro na buserere ni pua na mdomo na buserere iko Wilaya ya chato.mitano tena🤣
😂😂😂😂Naam mkuu, swadakta kabisa, naunga mkono hoja, ikiwezekana kosa moja lipigwe fine hata mara 6. Zianzishwe fine hata za "KUTEMBEA NA NGUO AMBAYO HAIJAPIGWA PASI/IMEJIKUNJA" au "KUTEMBEA BILA KUCHANA NYWELE (Wenye vipara nao wawekwe kundi hili)". . .
Tutaelewana tu, mamaqeee.