Wafanyabiashara wa Geita walalamikia kodi za TRA

Biashara yangu naifunga hivi kwa masikitiko makubwa na majonzi huku nikisema FIVE AGAIN.
Funga tu mkuu hali sio kabisa tafuta njia ya kukuingizia kipato cha kujikimu kabla TRA hawaja lamba mtaji wako hali sio hali
 
Hakuna balance wafanyabiashara wanahitaji reps na wao au wajifunze abc za kuandaa accounts na kuelewa kodi inavyotozwa; vinginevyo utaratibu uliopo wengi wanakuwa at the mercy ya maafisa wa TRA akienda mwenye njaa shida.

Halafu fines za first offences ni kubwa sana kwa wafanyabiashara wadogo; mtu awezi pewa penalty ya 3.5million kwa makosa ya udhembe wa kutokulipa kodi ya laki mbili.

Hizo fines ndio zinachohea rushwa, Ideal you’d want them to pay the full amount and extra percentage of between 30%-50% depending on the offence akifanya mara tatu ndio fines kubwa au jela.

Worst unakuta mtu anashahada ya uhasibu halafu hana kazi badala ya kufikiria kujiajiri kuchangamkia hizi fursa za kusaidia wafanyabiashara wadogo.
 
Ila LiSSU aliwaambia,km nakumbuka hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…