HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwa sasa Kariakoo majengo mengi yanavunjwa na kuongezewa uwezo wa kuchukua watu wengi zaidi, pamoja na stoo na makazi. Hii inasaidia mambo mengi sana.Kwa hio Majengo ya NHC makuuu kuu toka mwaka 50 yaachwe, Jengo lina Frame 3 liachwe wakati linaweza bomolewa na kuwekwa Frame 72 na Appaetment 40? Zitakazoingiza Takriban Bilioni kwa mwaka badala ya milioni 2?
Kama huoni hii opportunity Kariakoo haikuhusu, ni eneo la Biashara lile wanatakiwa watu wanaofikiria kibiashara ndio wafanye Decisions, hata hao wanaolalamika kutolewa wanaomba tu Extension ya Muda kuonesha na wao wanafikiri kibiashara.
Na biashara haifati majengo kamwe, Majengo ndio hufuata biashara, mpaka kesho Machinga Complex pamedoda, unafikiri Serikali ikijenga majengo Nje ya Kkoo basi kutachangamka na kua na Biashara?
Hapo alipo Tahfif uhakika halipi kodi ya milioni kwa mwezi