Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

Ni kipengele cha Mkataba, sijui shida iko wapi
Shida ni moja tu, watanzania tunaposaini mkataba wala hatujali yaliyomo ndani ya mkataba. Tunachoangalia ni pesa ngapi tutapata kwa mwezi/mwaka n.k.

Hayo ndio yanayotukuta katika mkataba wa DP world. Mtu anakwambia eti tutapata trilioni 31 badala ya trilioni 7 tunazopata leo. Wenye akili huangalia mkataba unasemaje? Kwenye hili NHC Kariakoo litatupa akili nzuri ya kujadili mkataba wa DP WORLD. Watanzania amkeni!!!!!!!!
 
Msipende kuishi kwa mazoea
Acha watu waje waboreshe maeneo

Ova
Unaweza kuelezea makusanyo ya sasa ya NHC kwenye hayo majengo kupitia kodi ya pango. Na watakachopata baada ya hapo.

Si ajabu mradi wenyewe wakishavunja hayo maeneo mwekezaji ana miaka 20 ya kurudisha hela zake kabla ya NHC kupata chochote sasa hapo kuna faida gani ya serikali.

Hizi ndio baadhi ya PPP zenyewe ni ufisadi mtupu wa kuchukua prime areas kirahisi kwa uongo wa uwekezaji.

Halafu taasisi ambayo inadaiwa karibu tsh 2 trillion inaweza afford kupoteza mapato yake kishamba; baadae huo mzigo wamrushie mlipa kodi.
 

Kabisa
 
Kwamba mgomo ulihusisha na wakazi wa hayo majengo?
Acha siasa
 

Acha ujinga fikiria kesho sio leo tuh
 
Wawalipe fidia za loss of income kwa miaka kadhaa ndio watu wanavyofanya na gharama fixtures and fittings za maduka yao; sio kupenda mambo rahisi.

Yaani unachukulia poa tu kisa jengo mali yako utadhani watu awakutafuta hizo hela za kuwekeza hapo.

Unawekeza kwenye nyumba ya mtu kwa kutegemea kuishi milele hpo [emoji3]kua serious ebu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…