stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Waje kufanya nini kubomoa na penyewe ili wawekeze ?Kazi ipo
Haya karibuni makumbusho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waje kufanya nini kubomoa na penyewe ili wawekeze ?Kazi ipo
Haya karibuni makumbusho
Watu wanapenda kuweka siasa kwenye kila kitu
Huna akili marehemuKama wewe hujui haki zao, usidhani na wao hawazijui.
Muulize Nehemia mbona alishindwa bomoa ata jengo moja upanga.
Muulize Nehemia mbona alishindwa Upanga kama unadhani rahisi hivyo.Ndo mana kunq mjumbe alisema akili za kijamaa ni za kimaskini sana. Kwa iyo nikikupangisha kama nataka kufanya maendeleo yangu nisikupe notisi ya kutoka tena ya muda wa kutosha kwa sababu nahofia utakula wapi? Kwanza mpangoshaji ni mimi tu? Ndani ya miezi mitatu huwezi pata mwenye nyumba nyingine ukaendelea na biashara?
Kwa akili hizi nchi hii maendeleo tusahau tuna mijitu mijinga sana
Fidia? Una akili kichwani wewe?Wawalipe fidia za loss of income kwa miaka kadhaa ndio watu wanavyofanya na gharama fixtures and fittings za maduka yao; sio kupenda mambo rahisi.
Yaani unachukulia poa tu kisa jengo mali yako utadhani watu awakutafuta hizo hela za kuwekeza hapo.
Umeishiwa hojaHuna akili marehemu
Fidia? Una akili kichwani wewe?
Hii comment yako ndiyo inatakiwa ibebe thread yote. Tanzania tuna tatizo kubwa sana. Tumepotea njia ila watu hawataki kusema ukweli. Bila kufumua mfumo wote wa utawala na kuanza upya kwa kujiwekea kanuni zinazoendena na mazingira ya sasa ni bure.Ttz hii nchi imefika hatua ya kwamba ni ngumu kujua yupi yupo sahihi kati ya mlalamikaji na mlalamikiwa unabaki tu kuangalia mwisho wake ni upi
Yale yale, matatizo ya akili yanazidi kushamiriWakavunje Michenzani Zanzibar kuna majengo nayo yamechoka mbaya na yakizamani; na wapangaji ZHC wanamikataba kama hiyo.
Zanzibar inapokea watalii wengi sana wakijenga nyumba mpya za kisasa na gated community; awawezi kukosa wazungu wakuwapangisha kama holiday let mwaka mzima kwa hela nyingi sana za kigeni.
Point hapo ni kwamba hela ina mipaka uwezi ku disrupt maisha ya watu kisa eneo unadhani linathamani zaidi; na wala huna alternative ya kuwapeleka watu unaowatoa kwenda kwingine huo ni unyanyasaji.
Hapo watajiliza liza ila mwisho wataondolewa kwa aibuNdio hulka ya wtz kila kitu wanaona wameonewa
Huo ni mkataba wao tu; ila hiyo ni taasisi ya serikali kuna sheria mama ambayo ni universal kwa taasisi zote za serikali.[emoji23][emoji23][emoji23]ety umpe mpangaji fidia [emoji28][emoji28]
Unyanyasaji wa vipi, terms za mkataba si wanazijua lakini..?Wakavunje Michenzani Zanzibar kuna majengo nayo yamechoka mbaya na yakizamani; na wapangaji ZHC wanamikataba kama hiyo.
Zanzibar inapokea watalii wengi sana wakijenga nyumba mpya za kisasa na gated community; awawezi kukosa wazungu wakuwapangisha kama holiday let mwaka mzima kwa hela nyingi sana za kigeni.
Point hapo ni kwamba hela ina mipaka uwezi ku disrupt maisha ya watu kisa eneo unadhani linathamani zaidi; na wala huna alternative ya kuwapeleka watu unaowatoa kwenda kwingine huo ni unyanyasaji.
Comment zako nyingi ni negative hata sehemu ya kutumia akili ndogo tu wewe huwezi bali unaendeshwa na mihemko ya kipumbavu,bila shaka utakua unapitia kwenye maisha magumu sana,hivyo unatumia hizi negative comment zako kama njia mojawapo ya kujifariji.Nilipoona mzanzibar anakuwa.DG wa NHC.Halafu mtu anatoka kuongoza NGO ndogo tu eti anakuja kuongoza NHC.Mwarabu atapewa.hivyo viwanja. YAANI MAGUFULI MTANGANYIKA TUTAKUKUMBUKA.TUNAKUKUMBUKA.
Nyumba nyingi za NHC wamezulimumiwa watu binafsi na Nyerere, na nyingi zilikuwa za Watanzania wenye asili ya Asia.Hizi nyumba za nhc zishakua za watu binafsi, unalipa Kodi milioni Moja kwa mtu ye anapeleka 250k serikalini, wazivunje zote tu