Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]eti kiwi wakati kutembea hovyo hamna kiwi ina umuhimu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mkuuπŸ‘πŸ‘
 
Hakuna mwenye anataka corona virusπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Natanguliza pole kwa ndugu zangu wakulima wa matunda na vitunguu. Better days ahead.
 
We export many essential products to Tanzania ( make Google your friend )not unless you want to mean you will start importing from Zambia,Uganda or DRC.which I doubt will happen since they are less industrialised thus don't produce some products.
Si ulist mzee unajiogopa nn..,huna bando?
 
Kenya hawana chakula wala matunda, eti wanafunga mpaka wa Tanzania.
You sell us maize, we process it, package it and then sell it at much higher price. Our markets include locals and international organizations, now tell me yupi yuko mjanja? . Danganyikan??.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuandika humu kwamba Kenya bila Tanzania haiwezi; rais wao alitangaza kwa mbwembwe zote kuufunga mpaka wetu na wao, Tanzania rais wetu wala hakuzungumzia chochote kuhusu hilo badala yake ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ndio alipewa kusimamia show, look now who is suffering. The truth is, without BONGO, there is NO EAC. Bongo can leave without Kenya and Uganda inclusive but you guys you can't sustain without Tanzania, is a bitter truth.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Tutakosa Kimbo, Cowboy na nini vile....? Beteri ya paka power premium..πŸ˜€πŸ˜€
 
Tanzania tutakosa biashara ya vitu ulivyovitaja. Yaani mm nina duka langu halafu mteja kaninunia eti nifunge duka ili nimkomoe? Binadamu hakosagi alternative ya maisha. Ukimnyima mchele atatafuta namna ya kupata miogo. By the way, hakuna ugomvi wa kibiashara kati ya TZ na Kenya maana sijamsikia Kenyata akisema tumefunga mipaka na biashara hatutaki. Ishu hapa ni tunatofautiana namna ya kupigana na korona. Naamini tutafikia hitimisho tu mambo yatakuwa shwari.
 
Jinsi mnavyofanya kwa watanzania tunajua ni chuki hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…