Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Kenya can't be shaken by cold threats. Today we turned back 53 drivers; 51 Tanzanians and 2 Burundians after they tested positive. Kenya will continue testing at the border post until that they we fill safe. Those doesn't want to be tested can remain in their country.

 
Mm ni mtanzania na naipenda nchi yangu na kutii sheria na kuheshimu msimamo wa serikali. Maoni yangu yanatokana na uzoefu wangu katika biashara ya mazao kupeleka Kenya. Kuna watu wanategemea sana hii biashara.
Kila mtu angependa kusiwe na mivutano na nchi yoyote ili maisha yaendelee kama kawaida, lakini ukilazimishwa kuingia katika mivutano, hutokua na jinsi zaidi ya kutafuta jinsi ya kuishi. Jaribu kuwasiliana na DRC wanahitaji sana Chakula, watakuja kukichukua hapo ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have told you to stop crying while writing, how many times do you want to be reminded?

Ambia Kinjeketile Ngwale kua wakenya wamefukuza watanzania wengine tena.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
But there is no movements from either side of the borders, those Tanzanians drivers where were they going?, stop your nonsense and get prepared for food scarcity in very near future.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But there is no movements from either side of the borders, those Tanzanians drivers where were they going?, stop your nonsense and get prepared for food scarcity in very near future.

Sent using Jamii Forums mobile app

Movement is going on and only negative drivers are allowed to pass. You can't resist Kenyan money and that's the main reason your drivers are cooperating. Hii mambo ni pole pole joto la jiwe, tutawapanga one by one hadi tuelewane.
 

ingawa mm sio mkenya ila watanzania nahisi aliotulaani sio wa dunia hii: 70% of tanzanians wanategemea kilimo, watu wa mpakani wanapenda sana kuuza kenya kwa sababu ya good price, kwa tz bei ni mbaya sana, sasa hawa 70% utawalipa wewe ama? sioni sababu ya kuanza kuweka mada za kukomeshana, kenya ni moja ya soko letu la ni vema tukaacha haya malumbano, iv unajua kabla ya kenya kuanza kununua tanzania walikua wananunua mfano maindi kutoka mexico?
 
Acha uoga wewe bado tuna nchi nane za kufanya nazo biashara so mambo yanaenda achana na hao wakenya alafu tunakuja kuwa fix kwenye utalii pia we subili uone hii gemu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi wewe unazungumza nini?, wacha kujiaibisha aisee, Kenya hainunui zaidi ya 10% ya mazao ya wakulima, sanasana ni mikoa michache ya kaskazini mwa Tanzania ndio huuza mazao yao Kenya, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, ambayo hawauzi Kenya.

Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kujibu, Kenya sio miongoni mwa masoko tunayotegemea, hata tusipouza bado masoko tuliyonayo hatuwezi kukidhi mahitaji yake, WFP wenyewe wanaweza kununua Chakula chote kinachozalishwa katika mikoa hiyo ya kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kusini Kenya hufuata Avocado ambazo ndizo huzitegemea kwa soko lao la ulaya, na wakikumbwa na njaa, hufuata mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…