And what percentage of Kenyans live in Turkana? When was the last death recorded? Were the survivors saved by Tanzanian food. Cyclic argumentsKila siku watu wanakufa njaa huko Kunya-Land. Kwashakoo na utapiamlo vimetamalaki kwa watoto wa Turkana.
We shupaza shingo hapa wakati nduguzo wanajifia kibudu kwa maradhi ya lishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwelezee huyo jamaa naona anatetea ujingaHivi wewe unazungumza nini?, wacha kujiaibisha aisee, Kenya hainunui zaidi ya 10% ya mazao ya wakulima, sanasana ni mikoa michache ya kaskazini mwa Tanzania ndio huuza mazao yao Kenya, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, ambayo hawauzi Kenya.
Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kujibu, Kenya sio miongoni mwa masoko tunayotegemea, hata tusipouza bado masoko tuliyonayo hatuwezi kukidhi mahitaji yake, WFP wenyewe wanaweza kununua Chakula chote kinachozalishwa katika mikoa hiyo ya kaskazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya mashindano ya riadha yamesitishwa ulimwenguni sijui mtaenda wapi kukimbia, ha ha ha. Mtachanganyikiwa muda si mrefu.I think you guys have a crazy notion that Kenyans must depend on your food to survive. Nahisi huwa hamtembei
Aisee wee mpuuzi ungejua huku watu wanatumia Sana whitedent kuliko hiyo Colgate ungetulia tu
We unadhani mexico ni kama kwenda tu kariakoo hata kwa mguu unaweza kwenda??ingawa mm sio mkenya ila watanzania nahisi aliotulaani sio wa dunia hii: 70% of tanzanians wanategemea kilimo, watu wa mpakani wanapenda sana kuuza kenya kwa sababu ya good price, kwa tz bei ni mbaya sana, sasa hawa 70% utawalipa wewe ama? sioni sababu ya kuanza kuweka mada za kukomeshana, kenya ni moja ya soko letu la ni vema tukaacha haya malumbano, iv unajua kabla ya kenya kuanza kununua tanzania walikua wananunua mfano maindi kutoka mexico?
Sawa mkenya
Acha kutetea ujinga wee Kwan hizo fujo tumeanzisha sisi au wao ndiyo vihelehele wa huu mgogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa kule kwenye battle huwa tunaimuita mzee wa broken yaani MR.BROKENNyang'au unababaika na Kimombo mwishowe roho ikutoke kwa kuvamia lugha za watu kwa pupa!
Kiswahili hujui, Kimombo hujui. Mradi tafarani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unadhani mexico ni kama kwenda tu kariakoo hata kwa mguu unaweza kwenda??
Kawaida yenu hyo, mume hakikishia km nynyi pekeenu ndio mnalima..Sawa mkenya
If we need Mexican maize today we getit from international waters. The consignment would land this very weekWe unadhani mexico ni kama kwenda tu kariakoo hata kwa mguu unaweza kwenda??
Wambie supu na chapati ni mlo wa watanzania maskini kabisa hapa Tanzania.Mda c mrefu hawa kenge wa humu watakua wanapiga debe humu wakitoka hapo wanapenda kula mchuzi usio na kitunguu wala nyanya, matunda yataliwa na waheshimiwa tu wao wataishia kuona maganda maana hiyo bei yake hawataweza kumudu
Za uso[emoji23][emoji23][emoji23]Nyang'au unababaika na Kimombo mwishowe roho ikutoke kwa kuvamia lugha za watu kwa pupa!
Kiswahili hujui, Kimombo hujui. Mradi tafarani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unachojua ni kupiga mushene tu na kubadilisha mada ukiona umekamatwa,Hahaaa!!unatafuta pa kutokea, tena bado sana nynyi katika sekta ya manufacturing..
Pambaneni na mali ghafi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya safi sana nyie msio lima tuwaoneKawaida yenu hyo, mume hakikishia km nynyi pekeenu ndio mnalima..
Hayo ni makosa makubwa sana mumefanya hadi mkasahau ku manufacture vitu vingine mbadala katika soko la kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kifurushi chenu cha wiki tu tunajua na wale nzige pamoja na mafuriko lazima mje mnatembelea magoti kuomba chakula TanzaniaAnd what percentage of Kenyans live in Turkana? When was the last death recorded? Were the survivors saved by Tanzanian food. Cyclic arguments
Na Tanzanite yetu tutauza wenyewe nje ya nchi hatutaki pua ya mkenya ArushaKawaida yenu hyo, mume hakikishia km nynyi pekeenu ndio mnalima..
Hayo ni makosa makubwa sana mumefanya hadi mkasahau ku manufacture vitu vingine mbadala katika soko la kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule ndio uanaume bwana, mwaga mboga namwaga ugaliMI kanimaliza leo mkku mkoa wa Tanga Martin Shigela wakenya wabakie kwao,ila mcongo,zambia rwanda,uganda we vuka tambaaa zako.Hii initwa ukimwaga ugali mi mboga namwaga kabisa
Maji maji and Kinjeketile Ngwale was the most dumbest rebellion and leader respectively in the world. How on earth did Kinjeketile Ngwale cheated his followers that bullets can turn to water? Mau Mau on the other hand was one of the brightest movements in the continent, they made their own guns and grenades. They didn't believe in stupid faith like maji maji.
Dada zenu tu ruksa Kuja tutawapokeaWhat the fu-ck do that woman know?