komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mafuta bado mta import tu[emoji23][emoji23]Kuna mjinga wa kikunya dk chache zilizopita alicoment humu eti tukifunga mpaka tutatoa wapi sabuni na mafuta ila naona amegundua ameandika ujinga akaona aifute tu [emoji23]
Haya ni kati ya mafuta yanayo ongoza kwa kutumiwa kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app