Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Kuna mjinga wa kikunya dk chache zilizopita alicoment humu eti tukifunga mpaka tutatoa wapi sabuni na mafuta ila naona amegundua ameandika ujinga akaona aifute tu [emoji23]

Haya ni kati ya mafuta yanayo ongoza kwa kutumiwa kwa sasa.
Mafuta bado mta import tu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subutu[emoji23][emoji23]
Soko la tanzanite tumelishika sisi, yani hta mtanzania akinunua lazima apate connections kutoka kenya katika masoko ya kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye waulize wafanyabiashara wa Tanzanite huko kwenu wanavyosota kutafuta hiyo Tanzanite sikuhiz tokea magufuli apige marufuku uuzaji wa madini nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] KENYATTA MWENYEWE KASANDA
“Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia JPM, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli” -Balozi Kazungu
#MillardAyoUPDATES millardayo on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jidanganye waulize wafanyabiashara wa Tanzanite huko kwenu wanavyosota kutafuta hiyo Tanzanite sikuhiz tokea magufuli apige marufuku uuzaji wa madini nje

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona boss wewe hujawai kufanya bisahara, kuna watu hawana mashamba lkn wanauza mazao kibao..

Lazima connections, hujui km kuna watu wanachukua order mezani..sasa wewe jichanganye hutaki connection alafu uone km hutozidiwa na bidhaa zako katika soko la kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaa nimeipenda hii
MY TAKE
Ushauri wangu watakapokuja kuomba chakula JPM ahakikishe chakula kinatolewa Mpanda na kusafirishwa kwa treni (the just rehabilitated MGR) mpaka Mwanza halafu ferry wagons (MV Umoja) mpaka Kisumu then watajijua from there onwards kama kwa kutumia their MGR au la? Halafu mbele waweke bango Food relief program with love from People of Tanzania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Wakenya ndio njia pekee ya kuwatia akili. Na bado huu ni mwanzo tu, tutaheshimiana.
Lakini na sisi tujitafakari maana bidhaa nyingi za vyakula na viungo wanavipata kwetu hivyo kwa upande wa wafanya biashara hiyo kutayumba
 
Wakati Waziri wao wa Kilimo akisema border closure imeleta " food ngap (gap) kwa market" kwa Wakulima wa Kenya kuuza mazao yao

Waru (viazi), posho (maize) imesomba na kuozeshwa na floods huko Muranga

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Kubadilisha mada na mpka leo katika sekta ya manufacturing ea kenya ndio baba lao..
Ingia google utajionea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukiweka huo utaharira chini halafu usome vitu unavyo niquote na unavyo viandika..nani anabadilisha mada?

Vitu vyote ulivyo vimention na kuandika kuwa havipo Tanzania nimekuletea vyote ukabaki kuweweseka hapa,

Levo yako ni jukwaa na udaku idiot.
 
Kwhyo unakataa km kenya EA haina mpinzani katika sekta za manufacturing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think you guys have a crazy notion that Kenyans must depend on your food to survive. Nahisi huwa hamtembei
It's not a must for Kenya to depends on us when it comes to matters pertaining to your Nation.However in doing business we are dependant of each other, specifically on inflow of industrial goods from Kenya to Tanzania and outflow of grains and perishable goods from Tanzania to Kenya alike.I have been living in Kenya and I know what am saying.Nairobi inategemea bàadi ya vitu kutoka Tanzania gharama za kuleta mzigo Kenya na hasa nafaka ni rahisi ukilinganisha na kuchukua mzigo Uganda au Ethiopia especially those perishable goods.
 
Wewe bhana acha haya maviingereza yako. Kwanza hata sikuelewi.

Maviingereza ya kijaluo haya hayana hata ladha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwa na habari kingereza hukifahamu. Nimeuliza Wakenya wangapi huishi Turkana? Kifo cha mwisho kutokana na baa la njaa kilikuwa mwaka gani? Ni wangapi waliponea mauti baada ya kupata afueni ya chakula chenu cha msaada?
 
It's not a must for Kenya to depends on us when it comes to matters pertaining to your Nation.However in doing business we are dependant of each other, specifically on inflow of industrial goods from Kenya to Tanzania and outflow of grains and perishable goods from Tanzania to Kenya alike.I have been living in Kenya and I know what am saying.Nairobi inategemea bàadi ya vitu kutoka Tanzania gharama za kuleta mzigo Kenya na hasa nafaka ni rahisi ukilinganisha na kuchukua mzigo Uganda au Ethiopia especially those perishable goods.
That I agree with. But nobody has closed the border to the movement of Cargo.
 
Back
Top Bottom