Mie siuzi Hiyo ni bei ya sokoni.Upo serious mkuu kwa Bei hyo..?
Kupata chini ya 18,000 labda uagize mwenyeweMwenye kufahamu chimbo la viatu hivi kwa jumla tafadhali naomba msaadaView attachment 1636699
Boss naambiwa haitumiki0738 968 546 mcheki huyu for motors
Ngoja nikutafutie namba nyingineBoss naambiwa haitumiki
Sawaa mkuu...Ila leo nmetoka Kkoo, vijora vingi Bei yake ya jumla ni-:Ukipata unitonye na mimi
Ok... Ila kuna sehemu zengine wanauza elf 11Mie siuzi Hiyo ni bei ya sokoni.
Vya Kariakoo siyo vya MombasaSawaa mkuu...Ila leo nmetoka kkoo,vijora vingi Bei yake ya jumla ni-:
Vya mtandio elf 11 adi 12 inategemea
Visivyo na mtandio elf 6.
Ila kuna sehemu nimeona maeneo ya shimoni kuna cherehani nyng watu wapo kazini,sasa sijajua ndo watu wanoshona hvyo vijora au mafundi tu...Mana niliskia vijora wanaagiza kutoka Mombasa.
Madira bado nafatilia.
Nilishuka pale wanaposhona wakanipa hiyo bei,Ok...Ila kuna sehemu zengne wanauza elf 11
Hujaipata bossBoss naambiwa haitumiki
Oooh...kumbee.Vya kariakoo siyo vya mombasa
Vya mombasa ni vikubwa/haviruki
Aaah...kumbee, daah mi sku zote nikajua vinatoka MombasaNiliashuka pale wanaposhona wakanipa hiyo bei,
Nadhani nafuu ni kununua jora na kushona mwenyewe
Vikifuliwa haviwi vifupi.Oooh...kumbee.
Haviruki,unamaanisha nn apo?
Vya Mombasa vipo ila siyo hivyo vya 12 KariakooAaah...kumbee,daah mi sku zote nkajua vinatoka mombasa
Oooh.. kumbee, nilikuwa sijui hiloVikifuliwa haviwi vifupi.
So na vile vya kisomali wanashonesha Kkoo auVya Mombasa vipo ila siyo hivyo vya 12 kariakoo
Ya kisomali sijui story yakeSo na vile vya kisomali wanasonesha kkoo au
0714 628 788 mcheki kwa hiyo namba for motorsHujaipata boss
Nenda Karume, usiingie ndani, banda lake lipo mwanzo karibu na kituo ni mdada anaitwa Zai ni maarufu sana, huwa kuna mnada, nilipita ilikuwa Alhamisi nikakuta watu wengi wanangoja mnada uanze ilikuwa saa 8 na nusu mchana, nahisi mnada ulikuwa uanze saa 9 au 10 jioniNaomba mwenye connection ya mabegi ya mtumba especially ya wadada kama yupo anisaidie namba tufanye biashara.