Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Ukipata unitonye na mimi
Sawaa mkuu...Ila leo nmetoka Kkoo, vijora vingi Bei yake ya jumla ni-:
Vya mtandio elf 11 hadi 12 inategemea
Visivyo na mtandio elf 6.

Ila kuna sehemu nimeona maeneo ya shimoni kuna cherehani nyingi watu wapo kazini, sasa sijajua ndio watu wanaoshona hivyo vijora au mafundi tu... Maana nilisikia vijora wanaagiza kutoka Mombasa.

Madira bado nafatilia.
 
Sawaa mkuu...Ila leo nmetoka kkoo,vijora vingi Bei yake ya jumla ni-:
Vya mtandio elf 11 adi 12 inategemea
Visivyo na mtandio elf 6.

Ila kuna sehemu nimeona maeneo ya shimoni kuna cherehani nyng watu wapo kazini,sasa sijajua ndo watu wanoshona hvyo vijora au mafundi tu...Mana niliskia vijora wanaagiza kutoka Mombasa.

Madira bado nafatilia.
Vya Kariakoo siyo vya Mombasa

Vya Mombasa ni vikubwa/haviruki
 
Nahitaji hizo kwa bei ya jumla[emoji1370][emoji1370]

Iwe full ama shorts tu 🩳

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
Naomba mwenye connection ya mabegi ya mtumba especially ya wadada kama yupo anisaidie namba tufanye biashara.
 
Naomba mwenye connection ya mabegi ya mtumba especially ya wadada kama yupo anisaidie namba tufanye biashara.
Nenda Karume, usiingie ndani, banda lake lipo mwanzo karibu na kituo ni mdada anaitwa Zai ni maarufu sana, huwa kuna mnada, nilipita ilikuwa Alhamisi nikakuta watu wengi wanangoja mnada uanze ilikuwa saa 8 na nusu mchana, nahisi mnada ulikuwa uanze saa 9 au 10 jioni
 
Back
Top Bottom