reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Hii Msomali Mi nanunuliaga mtaa wa Congo na Aggrey, ukiwa uhuru unaingilia kwenye kile kiuchochoro flan hivi cha vumbi ambacho mdawote kipo nyomii,1:Wapi nitapata Madera ya kisomali kwa Bei ya jumla?
2: Vijora vya Mombasa nikiamua kuvifata hukohuko Mombasa si ndo vizuri au Mombasa Ni jina tu?
3:Mashati ya kiume jamaa naona wanauza jumla 11000 je wao wanachukua wapi na kwa shngapi?
Wengi ni wahindi, na bei zao ni elf 23, hata juzi tuu nimechukua,
Kuhusu shati Mimi kuna sehemu hio hio congo na agrey nachukuaga kwa 7000-8000 ila hua mzigo wake ni Mdogo mwishowe naenda kwa hawa wa 11,000,
Bado nasaka hilo chimbo,
Vipi jeans kuna sehemu unapata bei nzuri?
Kuna baharia alishawahi niuzia shati hizi za 12 kwa elf 6 na jeans za 13 kwa elf 8, Nilinunua haraka Nikiamini alikosea.
Yule jama sijawahi mpata tena, lile duka asaivi sio yeye.