Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wakuu kwa mtu ambae anafahamu wanapouza mashine za kukoboa mpunga na motor nashukur sana.
 
Sandals za kimasai zipo kariakoo na makumbusho pia..!
Bei ni 4500 kwa kila moja mtaani zinauzwa 10k +
(Kituo cha msimbazi police, uliza yeyote)
 
Mnazi mmoja kanga na vitenge, kwenye mataa (baada ya kituo cha daladala zinapoishia)

Vikoi pia utapata kwa bei nafuu mno, vitenge ndio mahala pake
Asante dia Leo ndio nimeelewa mm huwa nanunulia mtaa wa kongo
 
Unawezaje kuzijua hii famba hii og?

Ni ngumu kidogo OG cover lake la ndani ni brownish
Ila fake imepakua

Pia fake Ngozi yake nyepesi mno

Halafu pia kuna nyingine hazina hata jina la Mossimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…