chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Thanks ngoja nijaribu ntakupa feedbackKkoo agrey (kwenye kanisa, upande wa kushoto Sasa kama unatokea jengo la simba
Maduka ya ndani wanauza jumla jumla ila hawatoi risiti, na simu zenyewe ni tecno Itel huawei kampuni zile za kichina
Umenielewa??
Asante kwa ushauri,je unajua wapi wanapofungua mzigo mzuri
Asante sana mkuu samahani niulize tena.
Ilala boma ni mida hiyo hiyo alfajiri ?
Na karume ni pale chini sehemu za kawaida ambazo mchana hupangwa viatu au kuna sehemu special ?
Ni pm nikupe namba ya ndugu yangu anafanya hiyo kaziMabalo ya mashati ya kiume grade 1 yanapatikana wapi wadau
Mkuu kitumbini nasikia ipo mnazi mmoja ila hebu nielekeze ni kwa wapi ukiwa kwenye ile stend ya mnazi mmoja.Kitumbini
Mkuu kitumbini nasikia ipo mnazi mmoja ila hebu nielekeze ni kwa wapi ukiwa kwenye ile stend ya mnazi mmoja.
T-shirt za form six zinapatikana wapi mkuuStand mbele si Kuna round about na mataa utaona wamepanga vitenge kanga Nguo za kudarizi, sasa kushoto kwako
Pisi kali mbona m hunijibuStand mbele si Kuna round about na mataa utaona wamepanga vitenge kanga Nguo za kudarizi, sasa kushoto kwako
Mkuu wapi napata raba kali ambazo zipo safi hazijaisha kule chini kwenye soli yake.
Kwa bei rahisi
Asante sana mkuu samahani niulize tena.
Ilala boma ni mida hiyo hiyo alfajiri ?
Na karume ni pale chini sehemu za kawaida ambazo mchana hupangwa viatu au kuna sehemu special ?
Mkuu ilala boma ni tyme yeyote sio lazima alfajiri kama ulivyoniambia kwa karume ?Ilala Boma
Mkuu, unaweza kunielekeza wapi wanauza vyombo vile vya ndani vya udongo kutoka China kwa bei ya jumla?Karume ni Alfajiri kuanzia Saa 11
Ahsante sanaStand mbele si Kuna round about na mataa utaona wamepanga vitenge kanga Nguo za kudarizi, sasa kushoto kwako
T-shirt za form six zinapatikana wapi mkuu
Pamepakana na maeneo gani mkuuTatizo mitaa majina sijui, ilipo s-h amony unapafahamu? Juu kuna madera na Nguo za uturuki
Sasa chini ingia chochoro ya kwanza ingia ndani ndani kabisa huko unapata form6 za kila aina
Kuna mdau alinielekeza ila sikufuatilia wanasema ni maeneo ya Bunju ila wanaanza na mtu mwenye 1millionMkuu, unaweza kunielekeza wapi wanauza vyombo vile vya ndani vya udongo kutoka China kwa bei ya jumla?
Ilala boma ni kwa BalloMkuu ilala boma ni tyme yeyote sio lazima alfajiri kama ulivyoniambia kwa karume ?
Mkuu unaweza kunipa maana ya maneno hayo(ballo na kupoint) kwa mujibu wa haya mazungumzo yetu.ilala boma ni kwa Ballo
Karume kwa kupoint
ilala boma ni kwa Ballo
Karume kwa kupoint