kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Mkuu hii siwezi kuiachaKabisa mkuu..vp kakudo biashara yako ya nguo za ndani ushaiacha ama unaendelea nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii siwezi kuiachaKabisa mkuu..vp kakudo biashara yako ya nguo za ndani ushaiacha ama unaendelea nayo
Kuyapata hayo masoko sasaVery simple,mr kadet anaagiza toka china ama italy,,siku hizi hata chinga wanaagiza mizigo china,shipping agency wanaokufanyia purchasing huko china wanaongezeka kila siku na hivyo kurahisisha ufanyaji biashara
Kwanini huweiz iacha mkuu tupeane maujanja nataka kuanza hii biasharaMkuu hii siwezi kuiacha
Anza tu boss ina faida karibu robo 3 ya bei uliyonunulia so karibu kwenye ulimwengu huu bossKwanini huweiz iacha mkuu tupeane maujanja nataka kuanza hii biashara
Anza tu boss ina faida karibu robo 3 ya bei uliyonunulia so karibu kwenye ulimwengu huu boss
Mzee baba siku nyingine ukitaka mashati ya shule kwa bei ya jumla pigs simu Highlands Njombe Kiwandani kinashona Shati za shule aina ya Hagafilo quality nzuri kuliko ya tomato bei 2850 kwa pc mojaNaombeni kujuzwa wapi wanajumlisha mashati ya shule aina ya tomato, pia naombeni chimbo la viatu vya shule na chimbo la soksi za shule
Weka hapa details zako tuko wengi tunaotaka mkuuNicheki pm nkupe namba yangu
Quantity yake ikoje au wanachukua hata order ndogondogo??Mzee baba siku nyingine ukitaka mashati ya shule kwa bei ya jumla pigs simu Highlands Njombe Kiwandani kinashona Shati za shule aina ya Hagafilo quality nzuri kuliko ya tomato bei 2850 kwa pc moja
Tunaomba connection ya machimbo ya hizi bidhaa kwa jumlaChupi, boksa za kiume wakubwa na wadogo, best za kiume, braa, mwaka mmoja sio wewe tena, niliwahi kumkuta mtu kariakoo anafuata uganda hizo mambo then anauzia kariakoo
Mimi nataka kujua wapi naweza kwenda kunyonya movies mpya kwenye external hard drive zangu, pia ningependa kufaaham chimbo la chaji za simu, makava, flashi, protectorHii biashara niliifanya miaka ya 2015 sidhani kama soko lake Bado lipo badala yake now watu wanaweka kwenye flash na sio kununua CDs
Ukichunguza siku hizi soko la deki za DVD limekufa
Lakin ngoja waje
Nakumbuka enzi hizo nilikua nachukulia maeneo ya msimbzi kituo cha police kuna Sheri hizo flem baada ya Sheri
Nenda insta andika fahamumovie utapata hudumaMimi nataka kujua wapi naweza kwenda kunyonya movies mpya kwenye external hard drive zangu, pia ningependa kufaaham chimbo la chaji za simu, makava, flashi, protector
Uko wapi mkuuTunaomba connection ya machimbo ya hizi bidhaa kwa jumla
Namba zipo wapi kakaMzee baba siku nyingine ukitaka mashati ya shule kwa bei ya jumla pigs simu Highlands Njombe Kiwandani kinashona Shati za shule aina ya Hagafilo quality nzuri kuliko ya tomato bei 2850 kwa pc moja
Dar mbeziUko wapi mkuu
Mzigo we unauchukulia wapiAnza tu boss ina faida karibu robo 3 ya bei uliyonunulia so karibu kwenye ulimwengu huu boss
0734187722Weka hapa details zako tuko wengi tunaotaka mkuu
Dar, mwanza, Uganda before korona, ChinaMzigo we unauchukulia wapi