Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Very simple,mr kadet anaagiza toka china ama italy,,siku hizi hata chinga wanaagiza mizigo china,shipping agency wanaokufanyia purchasing huko china wanaongezeka kila siku na hivyo kurahisisha ufanyaji biashara
Kuyapata hayo masoko sasa
 
Naombeni kujuzwa wapi wanajumlisha mashati ya shule aina ya tomato, pia naombeni chimbo la viatu vya shule na chimbo la soksi za shule
Mzee baba siku nyingine ukitaka mashati ya shule kwa bei ya jumla pigs simu Highlands Njombe Kiwandani kinashona Shati za shule aina ya Hagafilo quality nzuri kuliko ya tomato bei 2850 kwa pc moja
 
Mzee baba siku nyingine ukitaka mashati ya shule kwa bei ya jumla pigs simu Highlands Njombe Kiwandani kinashona Shati za shule aina ya Hagafilo quality nzuri kuliko ya tomato bei 2850 kwa pc moja
Quantity yake ikoje au wanachukua hata order ndogondogo??
 
Chupi, boksa za kiume wakubwa na wadogo, best za kiume, braa, mwaka mmoja sio wewe tena, niliwahi kumkuta mtu kariakoo anafuata uganda hizo mambo then anauzia kariakoo
Tunaomba connection ya machimbo ya hizi bidhaa kwa jumla
 
Mimi nataka kujua wapi naweza kwenda kunyonya movies mpya kwenye external hard drive zangu, pia ningependa kufaaham chimbo la chaji za simu, makava, flashi, protector
 
Mimi nataka kujua wapi naweza kwenda kunyonya movies mpya kwenye external hard drive zangu, pia ningependa kufaaham chimbo la chaji za simu, makava, flashi, protector
Nenda insta andika fahamumovie utapata huduma
 
Mzee baba siku nyingine ukitaka mashati ya shule kwa bei ya jumla pigs simu Highlands Njombe Kiwandani kinashona Shati za shule aina ya Hagafilo quality nzuri kuliko ya tomato bei 2850 kwa pc moja
Namba zipo wapi kaka
 
Wakuu vifaa vya umeme vya jumla nitavipata sehemu gani kwa dar
 
Jipatie 13mm Powerful impact driller (2000W) full set kwa TZS 140,000/= ikiwa na TOOLBOX.

Ina waranty ya mwaka mmoja ikiwa na..

1. Bit set za Chuma, Mbao, Ukuta na Aluminium na vifaa vya kupigia msasa tundu utalotoboa.

2. Ina speed controller.. kwa ajili ya ku adjust speed. (HIGH SPEED na LOW SPEED).

3. Inafunga na kufungua screws (speed ndogo).. yaani inazunguka clockwise na anticlockwise.

4. Inawafaa mafundi FENICHA, ALUMINIUM, WELDING, CHUMA, VIOO, GIPSUM na UMEME.

5. Ina IMPACT function inayokuwezesha kutoboa ukuta vizuri.

6. Ina watt 2000. (2KW).

7. Ina leveling device inayokuwezesha kutoboa tundu na likawa level.

Inakuja na accessories kama unavyoziona kwenye video mwishoni.

Napatikana mbagala Dar es Salaam... Popote Nakutumia kwa uaminifu mkubwa

Fanya kunicheki 0684511276 kwa maelezo zaidi..View attachment 1921352View attachment 1921351
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…