Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

𝑁𝑎𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 ℎ𝑖𝑖 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐺ouging 𝑅od 𝑚𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑛𝑎𝑦𝑜 𝑎𝑛𝑖𝑐ℎ𝑒𝑘𝑖 𝑖𝑛𝑏𝑜𝑥

Naomba kufahamishwa bei ya gunia la viazi mviringo,,, Kwa iringa na Chimbo lake Kwa iringa ni maeneo gan
 
Nomba kufahamu chimbo wanapouza

Makounter book ya shule na madaftar+ruler,pen na penseli

Pamoja na yale mashat ya tomato na haya ya kushona chap chap kwa mafundi
 
Nomba kufahamu chimbo wanapouza

Makounter book ya shule na madaftar+ruler,pen na penseli

Pamoja na yale mashat ya tomato na haya ya kushona chap chap kwa mafundi
Nje ya mada
Nimependa id yako [emoji1] (nickname ya kijijini kwetu)
 
Nomba kufahamu chimbo wanapouza

Makounter book ya shule na madaftar+ruler,pen na penseli

Pamoja na yale mashat ya tomato na haya ya kushona chap chap kwa mafundi

Counter and all stationaries ni Kipata

Shati ni mtaa wa Agrey/congo au mchikichi/Congo Kama sijakosea
 
wiki iliyopita niliamua kwenda mwenyewe kaliakoo nikitokea singida, nilienda kwa influence ya uzi huu, nashukuru Mungu nilipata chimbo za kutosha, ukipata nafasi nenda tu kajarbu usiogope, nilienda kuchukua viatu.
Viatu vya kike au kiume?
 
Natafuta chimbo la saa ambazo hazipauki
Natafuta chimbo la smart watches,earbuds, wireless charger
Mawasiliano 0693034903
 
Namba boss ,nataka kufanya droppshipping ya hizo bidhaa zako kupitia website yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…