Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mawasiliano yako boss
Nzuri
Nahitaji kufahamu mambo machacheUsafiri unatumia wa Agents Kama silent ocean
Serengeti cargo n.k
Unaweza kufahamu zinapopata hizi Poncho au zinazofanania na hizi? Bei ya jumla ni shilingi ngap?chochote unachokitaka kioo ntakupeleka ila bei maelewano kwa wale mnataka mizigo ya jumla tu
chochote unachokitaka kioo ntakupeleka ila bei maelewano kwa wale mnataka mizigo ya jumla tu
Wakikujibu nitag bossUnaweza kufahamu zinapopata hizi Poncho au zinazofanania na hizi? Bei ya jumla ni shilingi ngap?View attachment 2121962View attachment 2121963View attachment 2121964
Nenda Duka la cello kariakoo .wakuu naomba aneijua wanapouza ivi visturi kariakoo kwa bei ya jumla na ni bei ganiView attachment 2129864View attachment 2129865
Una sabuni za kung'arisha
Nataka niongeze hizo bidhaa dukani kwangu ila ni mgeni wa hayo mamboKung’arisha
Kuchubua zote zipo
Nataka niongeze hizo bidhaa dukani kwangu ila ni mgeni wa hayo mambo
naulizia Bei za protector za simu kwa Bei ya jumlaaaNdo bei gani jumla?