kodi ya Tanzania
Member
- Apr 17, 2022
- 97
- 133
Bro. Inabidi nami unipe chimbo la mazaga zaga nitakushukuru sana nduguMi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi, siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona. Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka, vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia. Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hata bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.