Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa




Mkuu nipe namba yako ya simu tufanye biashara
 
Kuna comment moja charty alielezea kuhus vijora na vitambaa vyake tandika kila nikiitafta sion hum.
 
Kariakoo sehemu gani wanauza essentially za sex. Mfano mikanda kwa ajili ya roughly sex, vilainishi Na mengineyo
 
Naomba nipate contact zako tufanye biashara boss
0657904156
 
Wadau vp kwema, naomba kujua wapi ntapata zile simple za kike sometimes utakuta pale mwenge wemepanga chini wanauza elfu mbili mbili au tatu tatu, inaonekana wao kwenye chimbo hua wananunua hadi Mia tano tano. Noambeni information kwa mtu anayejua shukran
 
Nimependa ngoja nijaribu nianzie na flash na memory cards og nataka peece kumi kumi 0786744177 Whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…