Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Narung'ombe nadhanimkuu samahani hivi ni chimbo gani kkoo naweza kupata viatu vizuri vya kike kwa jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Utazipata nyuma ya soko dogo K.koo maduka ya Wahindi. Ukifika maeneo yale ukiuliza unaoneshwa.Kwa anayejua disposable Cups kama hizo kwenye picha zinapopatikana k.koo naomba aniambie,na kama anajua bei pia
.View attachment 844679
Mtaa wa uhuruMaduka ya Raptop used kwa jumla na simu kwa Bei kitonga anijuze plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Wauzapo bidhaa za kutengeneza sabuni, dawa za usafi, mafuta, Mishumaa, chaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Raptop mtaa wa uhuru simu Mtaa wa Agrey lakn ni pale pale tuMaduka ya Raptop used kwa jumla na simu kwa Bei kitonga anijuze plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna walemavu pale machinga complex wanatengeneza viatu vizuri kweliJamani naomba kama yupo humu anayetengeneza/kuuza viatu vyakimasai vyangozi vyakike nataka kwajumla ila awe tayari kunitumia sample zake kwapicha
Sent using Jamii Forums mobile app
ok ngoja nikutaftie link nakuinbox
Niunge na Mimi mumy pliz,or send me Link ya group pleaseNgoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy.
Ziko za 5000/6000 kwa za kike na 10000 za kiumeJamani nauliza chimbo la nguo za shop ambazo ni lonya lonya kike na kiume za bei chee kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Flash chimbo lipo sehemu gani?Na mwenye kujua chimbo la post cards, memory cards na frash .