Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kwa anayejua disposable Cups kama hizo kwenye picha zinapopatikana k.koo naomba aniambie,na kama anajua bei pia
.
disposable cup with flat lid.jpg
 
Jamani naomba kama yupo humu anayetengeneza/kuuza viatu vyakimasai vyangozi vyakike nataka kwajumla ila awe tayari kunitumia sample zake kwapicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy.
Niunge na Mimi mumy pliz,or send me Link ya group please
 
Habarini waungwana, huu uzi ni mzuri sana, umetufungua macho. ubarikiwe uliyeanzisha na wachangiaji wote.
mimi naomba kuulizia mashati ya kiume ya ofisini mazuri na vitu kama boxer soksi singlend bukta. Kariakoo navipata sehemu gani vyenye bei nafuu. Asanteni wapendwa.
 
Back
Top Bottom